DODOMA: GARI LA OFISI YA CAG LAGONGANA USO KWA USO NA GARI LA NSSF NA KUUA WATU 7
> Waliofariki kwenye ajali hiyo ni Dereva wa gari la Ofisi ya CAG, Uson Kitanda na ndugu 6 wa Naibu CAG waliokuwa wakitokea msibani huko Chato Mkoani Geita
Soma => https://t.co/aPHhkXjILm
#JFLeo
Tatizo ni kuporomoka kwa maadili,matokeo yake tumekuwa na Dunia chafu,hatuwezi kuishinda dhambi ya ugay kwa kupiga kelele.Inatupasa kumcha Mungu na kurudisha somo la maadili/dini ktk shule zetu,pia tuwajibike ktk malezi tofauti na sasa ambapo wengi hatuna muda na familia zetu.