@BracuszCadabra@BracuszCadabra nashukuru na ww umeliona swala la uchoyo uliopitiliza, as a 🦁 fan kwa kasi yake km asingekua mchoyo na kutoa mali the afungue angekuwa amefanya makubwa sn. Hii kitu alkua nayo Kibu pia, ni watu ambao wanapenda kukaa na mpira sn