Kuna dhana isiyo rasmi kuwa Tanzania ni "dola ya kiintelijensia" (intelligence state) - ambapo idadi kubwa ya viongozi ni watumishi wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa. Not a bad thing, but kutokuwa na ufanisi kwa viongozi hao huakisi negatively kwa Idara... na Taifa as well.
@Chahali Sikuwahi kufikiri kama tunaweza kuwa na viongozi eti yupo Bungeni anashiriki kutunga sheria za nchi halafu kichwani kuna akili kama za huyu Mbunge
Mpina adai kuna wizi wa kutisha SGR lakini watanzania wako kimya huku pesa za umma zikiendelea kutafunwa,asema Chadema kwa sasa haina msaada wowote kwa taifa,wameungana na wapigaji wa taifa,Tundu Lisu na Mbowe wanapambana na Magufuli asiyewasikia huku wakiacha wapigaji wa taifa
Leo nimewafukunyua machawa na viroboto wote - wamejileta timeline nishawanyunyuzia dawa na nimewa-block - wapambane na dawa huko!
Sasa weekend hii nina follow wapenda haki na wanaharakati wa #KatibaMpya
๐๐พ tutambuane - follow and follow back each other #Tanzania
DEO Dr Jilly demoted to RAS.
DDGIS cum DOI Makungu demoted to RAS.
DDGIS post killed, new DOI Nyaulingo perishes in fatal crash.
And then the mother of all surprises, incumbent DGIS Kipilimba is sacked&detained.
Sheer coincidences? Methinks the zombie government is crumbling
Nimeshiriki maziko ya mlezi wetu na Mjomba, Mwalimu kwetu, Mtumishi kwa taifa na Baba kwa Ndg zetu wakina Cecy, Ndg. Bernard K.Membe leo Chiponda,Lindi. Marehemu amekuwa ni zaidi ya rafiki kwa mzazi wangu na familia yetu. Umetuachia funzo kubwa maishani. Tutakuenzi kwa vitendo.