Nakubaliana nawe Prof. Kurudisha uchifu ni hatari kwa umoja wa taifa. Ni vema tukazanie kukuza mfumo wa kidemokrasia katika vijiji vyetu, halmashauri zetu za wilaya na miji, pamoja na katika serikali na bunge letu. Kurudisha uchifu ni kuiweka nchi hatarini.
Mlima Kilimanjaro unavyoonekana kutokea Kijijini kwangu, nilipiga hii picha Jana tarehe 10 January,2022 saa mbili kasoro asubuhi......was fantastic my kids enjoyed a lot!