Muda mwingine stress wanaume tunajitakia,
Like mtu unawezaje ku fall in love kwa demu ambae umemkuta anakunywa pombe clu na nusu uchi tena saa sita usiku yaani how?
๐๐
Mtu nimejitahidi kuandika sms ndefu ya kumtakia Usiku mwema, baadae anakuja kujibu asante kaka nina Boyfriend wangu.
Hawa mabinti wa Field wana shida gani?
๐ฅฒ๐ฅฒ