@Kenyans Ni Mimi pekeangu ama pia Kuna mwengine anaona hii biz ya nganya classic Ni wash wash ju MTU anieleze kama a standard two drop out venye hio cost ya kununua,kupimp Na kumaintain as in Kwa mwaka iende body works mara kadhaa unarudi aje Na faida significant
@phin_mirandah@WilliamsRuto Help who..? Ushawahi apply visa ya US...? Those MFs hawana Huruma why should we pity them. Kwanza ata Trump alitoa USAID in case hio ugonjwa ibreak lose APA Na hii serikali yenye imeshindwa ata kutusuply Na condom ya bure si tutanyuria apa
@WilliamsRuto Na Je ukiamua hio 2027 kutupea hekaya eti Wasee walibreak lose Kwa center Na ugonjwa imeanza kutapakaa so hakuna kupiga Kura until further notice Sisi Tuta do..? Hebu achana l Na hio risto Kwanza mpaka tumalizane Na elections.
@WilliamsRuto Mkuu tuna kupata kwenye uko in fact it's a good idea lakini acha Kwanza tupige Kura ukipita uta implement kwenye hio term nyengine ju izi Ni gani zenye tunaona bills zikipitishwa eti unaeza declare state of emergency wakati wowote Na kuisitisha wakati wowote wenye utajiskia..?
@HudumaKenya Nilikua nauliza kama mnaeza bypass e citizen account yenye umepoteza both email address Na phone number ju Kuna MTU anataka kurenew passport Na haezi access hio account Na Yuko abroad
@BobBobw1690@DailyIranNews USA is run by cooperations which includes members in the OPEC. UAE as one of the world oil producers pulled out of OPEC which is a big blow, the rest you already know what they're capable of. Thinking is free..
@WilliamsRuto Mkuu Na hii kutuletea wakoloni Na kuwapea full immunity ndio gani.? tell us please what's your end game coz these are of no good to us and we don't need their presence ju tayari Kuna active case ya British soldiers who killed our own and here you are again repeating the mistake
@UDAPartyKe Mkuu tuambie what happened to the oil refinery in Changamwe and why are importing refined diesel, kerosene and Petrol which is quite expensive
@citizentvkenya People should know that the popularity of ODM was as a result of we the people who thought that it was the only party which stood up when we needed it and now that it has turned to a tribal party we the people will opt for an alternative
@Gakobo_@citizentvkenya Those cheering are just paid People lakini payslip holders wanajua hakuna kitu amefanya hio Ni tofauti ya mia saba tu kama MTU Wa 30k after PAYE alikua anapewa 26200 sai atapata 26900 Sasa hio Ni kitu ya kupigia kelele kweli
Na Hawa @betikaKe si afadhali watoe hii cash out tu haina haja game Zinaisha Na wanakataa kumark mpaka yenye utakosa ndio inakua ya Kwanza kuwa cancelled shame on you guys