@kalegamyeh@Therealngassa wakumbushe Bila Maelekezo usiiguse, usifuate peer pressure.
Kuna braza baada ya kumaliza Udsm alikaa mtaani hadi akawa kama kadata hivi.
@Mwinshehe07 Mkumbushe kati ya mashtaka aliyoshutumiwa nayo YESU ni haya.!
1. alikuwa akimuita Mungu BABA (wakasema anakufuru Mungu anakuaje baba)
2.aliwaambia watu wamesamehewa dhambi (wakahoji anasamehe dhambi kama nani?)
Je yeye kwa Imani yake anaamini tofauti na wayahudi??
Wakati nakua Simike road pale walikuaga wanaweka hii sinema kanisa la Nazarene basi na vile home maza kila siku biblia nilikuaga najua huyu ndo Yesu
Nilikua kajinga๐
@BillyTronix1 ni vile it is not worth it, lakini uwezo huo wanao kabisa.
Chukua mfano wa hali ya Palestine kwa sasa kusingekuwa na sympathy ya mataifa mengine je Israel wangeshindwa kuwatawala??