Utajuaje Tanzania inafanya vyema kwenye sekta ya afya.
Wagonjwa kutoka nje wanaokuja kutibiwa Tanzania wameongezeka hadi 12,180 mwaka 2025. Hii inaonesha kwamba, ubora wa huduma za kibingwa chini ya Rais Samia Suluhu umeongezeka.
Majengo ya huduma za dharura yameongezeka kutoka 7 (2020) hadi 125 (2025).
Hii Mantiki yake ni nini? Tunaokoa maisha ya majeruhi wa ajali na wagonjwa mahututi kwa haraka. Rais Samia Suluhu Hassan anajali uhai wa kila Mtanzania kwa vitendo. Hivi ni vitendo dhidi ya maneno.
tulishasema haya kitambo. So Ingawa James Mbowe amesema kwa codes, let me decode it for you.
Heche na nduguze, are behind the plot to assasinate Lissu akiwa ndani for they know, lawama zitarudi serikalini. Lengo, kupata full access na fedha za chama na madaraka. Pathetic.
Madinat Jumeirah, Dubai, UAE
Leadership in action at the World Governments Summit 2026. Her Excellency President Samia Suluhu Hassan & Her Excellency President Vjosa Osmani-Sadriu.๐น๐ฟ๐ค ๐ฝ๐ฐ
Huwezi kuamini account ya Chadema vile imeposti msiba wa muasisi wa chama hicho Mzee Mtei, ni kama vile amefariki mtu wa kawaida tu. Hii inatoa ishara ya vitu vingi ndani ya chama hicho kwa sasa kwani inasemekana, Mzee Mtei siku zake za mwisho alisema hapendezwi na hali ya chama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ili kuhakikisha taifa linakuwa na maendeleo endelevu, Serikali itaendea kuuheshimu na kuulinda uhuru wa Mahakama ili iweze kuwa chombo kitakacho hakikisha kunakuwepo kwa upatikanaji wa haki.
Akizungumza katika Januari 13, 2025 wakati wa akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) Amesema โMahakimu mtakubalina nami kuwa hakuna taifa litakaloweza kuwa na maendeleo endelevu na ustawi wa watu wake bila usimamizi mzuri wa haki, uwepo wa Mahakama Huru yenye uwezo na uadilifu ni nguzo muhimu ya Utawala bora na ni msingi wa upatikanaji wa haki.โ
Serikali itaendelea kuulinda na kuuheshimu uhuru huu wa Mahakama ila nitoe rai kwenu, Mheshimiwa Jaji Mkuu na waheshimiwa Majaji na Waheshimiwa Mahakimu kuwa uhuru huu hauna budi kwenda sambamba na uwajibikaji, uadilifu, Nidhamu, utii wa Sheria na uzalendo kwa taifa lenu lazima hayo yaendane na Uhuru wa Mahakama.โ
#MillardAyoUPDATES
CNN imeitaja Arusha kati ya miji 20 bora zaidi duniani kutembelea mwaka 2026.
Tanzania ndiyo nchi pekee Kusini mwa Jangwa la Sahara kwenye orodha hiyo.
"Watanzania wana matumaini makubwa na ninyi [Mahakimu na Majaji], na wangependa kuona mahakama inayosimamia haki kwa uwazi na kusimamia misingi ya kikatiba, sheria na utu."- Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
Kijana anasema IQ yake 177, lakini hajui namna gani ya kubahave kwenye jamii anayoishi.
Law 19: 48 LAWS of Power by Robert Gree
๐๐ง๐จ๐ฐ ๐๐ก๐จ ๐๐จ๐ฎโ๐ซ๐ ๐๐๐๐ฅ๐ข๐ง๐ ๐๐ข๐ญ๐ก โ ๐๐จ ๐๐จ๐ญ ๐๐๐๐๐ง๐ ๐ญ๐ก๐ ๐๐ซ๐จ๐ง๐ ๐๐๐ซ๐ฌ๐จ๐ง
demu tapeli na mwanaume tapeli, hawa ni birds of the same feather, jamaa anajifanya mganga, itikadi zile za jicho la tatu kama chief godlove, hawa watu mwisho wao huwa mbaya..
@Twaha_Mwaipaya mwaipaya ameingia kwenye kufanya biashara ya wizi wa mtandaoni. Ujinga wao wanadhani kwamba mitandao inaweza kupindua serikali, au kuiondoa madakarani. Wamepoteza kila kitu, haya waanza upya huko walipo..
@Twaha_Mwaipaya mwaipaya ameingia kwenye kufanya biashara ya wizi wa mtandaoni. Ujinga wao wanadhani kwamba mitandao inaweza kupindua serikali, au kuiondoa madakarani. Wamepoteza kila kitu, haya waanza upya huko walipo..