@amnsekela@CRDBBankPlc This is a remarkable strategic approach to the really african problems - we appreciate how the CRDB is breaking traditional barriers and pushing the agenda of financial inclusion.
@TRATanzania ADM wa mnada wa mtandaoni- otp hazitoki, tunaomba fanya hala hala zitoke tuweze kushiriki mnada wa leo. Bado muda mchache mnada kuanza. Asante
@TRATanzania Habari Ndugu Kamishana...na timu yako. Tunaomba utusaidie OTP za mnada mtandao ziwe zinatoka. Mfano jana hadi leo hii bado OTP haziji.
Pamoja tujenge taifa letu. Asante.
@TRATanzania Salaam kamishna. Nauliza...hiv ni kwanin siku ambayo kuna mnada wa mtandaoni....OTP haziji...lakin mnada unapoisha OTP ndio zinakuja? Ni nani yuko nyuma ya pazia katika hili jambo? Binafsi inanipa mashaka sana.Mfano leo tarehe 25 July 24 otp haziji kabsa.
@TRATanzania Mkuu karibu sana. Pamoja na mambo mengine tunakuomba upitie upya kanuni zinazoongoza mnada wa tra wa online. Washiriki wengi wanaharibu mnada kwa kuweka offer kubwa kisha kutokomea. Ni muhimu kuweka ada ya ushiriki kuanzia mil 1 ili kuondoa vishoka . Asante.
@PrecisionAirTz To pilots who were flying PW601 from Dodoma to DSM 07.15 on 20th April 2024.....!
You did an amazing landing at DSM....it was cool landing!
Kudos!
@DocFaustine Tufikirie kimbadala zaidi....hii barabara licha ya kuwa na bomba ilipaswa iwe na lami na iwe inatumika. Nchi zingine kama china wamefanya hv sana...
@DocFaustine Yaan gari zinazotoka maweni kwenda ama feri au mji mwema....zinaenda kwa kuviziana sana. Ipo siku itatokea ajali mbaya sana. Weka speed bump tafadhali.
@DocFaustine Nikuombe mh. Tafadhali sana. Pale njia panda ya mawen kwenda mji mwema pana blind spot kubwa sana kwa madareva. Tusaidie pawekewe bams kwa upande wa kutoka feri na mji mwema. Pana hatari sana mh.