Pongezi kwa aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. #WenyeNchi#NguvuMoja
Mshauri wa Rais wa Tanzania Masuala ya Afya na Tiba ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Yakub Janabi ametangazwa rasmi kushinda uchaguzi na amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye uchaguzi uliofanyika leo May 18,2025 Geneva.
Uchaguzi huo umefanyika kuziba nafasi ambayo iliachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa nafasi hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kufariki ambapo Prof Janabi alikuwa ni Mgombea pekee kutoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, huku wenzake wanne wakitokea nchi za Afrika Magharibi akiwemo Dkt. N’da Konan Michel Yao (Ivory Coast), Dkt. Dramé Mohammed Lamine (Guinea), Dkt. Boureima Hama Sambo (Niger) na Prof. Mijiyawa Moustafa wa Togo.
#MillardAyoUPDATES
Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu akiambatana na wajumbe wa bodi, Dkt. Seif Muba na CPA Issa Masoud wamekutana na viongozi wa matawi kujadili maandalizi ya mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. #WenyeNchi#NguvuMoja
🔥🔥🔥🙏MWAMBA WA UMALILA NILITAMANI SIKU MOJA nitangaze FAINALI YA AFRIKA ambayo Timu ya Tanzania inacheza, hatimaye siku imefika, Alhamdulilah!🙏🙏🙏🙏
Fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika leo Saa 4:00 usiku, RS BERKANE VS SIMBA SC🦁,
Hii haijawahi kutokea ..🙌🏽
Msafara Mkubwa wa Kihistoria Wananchi wakielekea Tanga kwenye Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB🤩
#daimambelenyumamwiko