@Skinny36479503@Jambotv_ Ivi unajua mijitu inayojiona imesoma kama wewe ndo mipumbavu na ndiyo imetufikisha hapa?? Yaani wewe na bando lako la buku na smart ya mkopo umshauri heche na kumuita mkurupukaji๐๐๐๐ hii nchi ngumu walahi๐๐๐
@bbcswahili Swali rahisi hapa ni Je, kwa nini hizo Video hazijatumika kumtukuza Samia, Tinubu au Mseveni?? Na kama suala la ni kuwa kijana, mbona hata Mahamas wa Ghana ni kijana? Vipi wale wa Mali ni wazee?? BBC hamtakiwi kuwepo Africa....You are the wicked, Wretched and fake media ever๐ฃ๏ธ
@rugilandavyi Nikisoma comments humu ndo najua kuna watu wanapaswa wawe milembe afu wanamtukana huyo mbunge. Miaka 7 ya udaktari hata kumdhibiti mbu haiwezekani. Unategemea USAID.
The more you are educated with colonial education the more idiot you become๐ฎ๐ฎ
MNYAMAZAGE TU MIZIGO YATAIFA NYIE
@rugilandavyi Wakati Ulaya wakifundishwa kutumia Tanzanite, Almasi na dhahabu na hawana mgodi hata mmoja, wewe uko bize na basics za hesabu na kiingereza chako cha kuungaunga. iPhone 12 Pro inatengenezwa kwa $10 na kuuzwa kwa 3.5M we unashangilia Quadratic na algebra. Vumbi kabisa๐ฎ๐ฎ
@Jambotv_ Huyu mpuuzi anapongeza nini wakati miaka 63+ ya uhuru na ndoo ya maji inauzwa sh. 500 hadi 1000 . Just imagine Dar maji ya kunywa yanauzwa 1000!!! These heretic and wicked people don't deserve even to be 10 household ambassadors.
@SupaVanSA@MadisonKay99862 White killers and capitalists will never agree to this. Be it fake account or not, from Tanzania i agree to this. You should be debating on the cardinal pillars of EFF genuinely, not emotions. To me Malema deserves to be a president of Africa and Traore a Prime Minister.
@illegalLuminary @AfricaArchives_ Russia Never colonized anyone. In fact it helped more than 20 African countries to gain independence, Free of charge. There is merit to do deals with Russia and they are not snake like your beloved NATO. Its the matter of common sense. Thats why yo deserve insults๐
@Escape254 Watanzania sijui tuna shida gani! Mtu katoa hoja, anapaswa apingwe kwa hoja. Kama huna tafiti zenye ushahidi kama alivyotoa yeye basi huna haki ya kumpinga wala kumtukana. Watu wanajam eti tafuta kazi, sasa umejuaje kama hii siyo kazi yake๐๐
@Jambotv_ Kumbe ACT ni chama cha siasa??๐ค Nilijua ni kikoba kinachochota pesa kwa samia na kusubiri kupewa majimbo. Hawa jamaa hata aibu hawana๐๐๐๐๐
@cityfan1tz@devyspear@Jambotv_@ChademaTz Kwani Ccm inaendesha chama kwa hela gani? Afu unaweza kuita watu mbulura jamaangu kumbe we ndo akili huna na hutaki kujifunza๐๐
@cityfan1tz@Jambotv_@ChademaTz Hata kama wanatumika na mabeberu lakini kabla ya kuwalaumu lazima ujue tatizo lilianzia wapi kisha litibu. Ni sawa na kumulaumu mtu kibaraka wakati wapo waliotengeneza tatizo na wao wanaonekana wema. Bila kupigwa Risasi Lissu asingekuwa kibaraka na alipambana sn na hao mabeberu
@cityfan1tz@Jambotv_@ChademaTz Hii ni sawa na kuwalaumu m23 kabla ya serikali ya Congo ambayo inawafukuza Raia nchini mwao na kuwaambia warudi kwao. Walipojiunga kujilinda dhidi ya udhalimu wa serikali watu wakawaita waasi lakini hakuna hata mmoja aliwatetea.
@cityfan1tz@Jambotv_@ChademaTz Nakubaliana na wewe kwenye ukibaraka. Siyo Lisu tu, hata serikali nzima na zingine za kiafrika ni za vibaraka. Nadhani kabla hatujamtukana kibaraka au laa....swali la msingi hapa ni je, anatendewa sawa? Wapinzani wana haki hapa nchini?