@SuluhuSamia Shikamoo Mh.Rais, Mama wa watanzania wote . Mh.Rais mimi nakuomba ufanye kitu ktk hizi Taasisi za utoaji haki. Bado tunateswa sana huku, Mahakama zinaharibu taswira ya uongozi wako mama, hizi mahakama za mwanzo na wilaya huku ni tatizo, RUSHWA IMEZIDI.
@SuluhuSamia Mahakama zetu ktk utoaji wa haki bado zinaendekeza Rushwa. Majaji,mahakimu ,makarani, kifupi watumishi wa mahakama kwa 85% ni corrupted person. Wanaharibu sana jihudi zako mama.
Naomba utupe jicho huku .
@SuluhuSamia Mama Shikamoo.
Pole sana kwa majukumu uliyonayo ,pole kwa janga hili lililotokea karia koo, tupo pamoja katika kuliombea Taifa hili kuvuka na kua imara zaidi sasa na siku zote za baadaye. Vijana tunatambua vyema juhudi zako. Ila mama Tazama Mahakama zetu.
Kama kuna jambo linapaswa kushugulikiwa ktk nchi yetu ili kupata utawala bora basi ni Rushwa(corruption). Hii inakwamisha utoaji wa haki ktk kila taasisi, kama Police na Mahakama.
PCCB bado mnafeli sana .
Unaripoti kwao kuhusu rushwa na wao wanamtonya muhusika ili kumlinda.
Kama kuna jambo linapaswa kushugulikiwa ktk nchi yetu ili kupata utawala bora basi ni Rushwa(corruption). Hii inakwamisha utoaji wa haki ktk kila taasisi, kama Police na Mahakama.
PCCB bado mnafeli sana .
Unaripoti kwao kuhusu rushwa na wao wanamtonya muhusika ili kumlinda.
@MeekMill Its very true my brother, its a time now for all of you Africans diaspora should come and invest in Africa. a lot of premature industries in here, like music industry,agriculture, mining, sports and games.etc. the choice is yours.
@Wakazi@akili_nyingi Kiukweli we are in very difficult error.
People are scaring to tell the facts.
Shobo shobo.
Hi tunashuru Mh.ktk kila jambo ni tatizo kubwa sana.