Web Designer and Dev: Php, Laravel, React, NodeJs, OctoberCms, Django, Flask, FastApi, Quart | Mobile App Dev: React Native, Flutter | Data Science & AI
@Phbhimself Mbona wapo viongozi anafanya ushoga..mbona
.. je dini ndo inavyosema. Kumbuka viongozi wa dini pia ni binaadamu ukiona kakosea usimfuate kwenye ubaya wake fuata muongozo wa dini unasemaje. Fuata dalili kwenye maandiko na yasemwayo hakikisha hayapingani na dini yako inavyosema.
@Phbhimself Ukiona mtu kakosea usianze kupondea katika yale mema anayoyafanya kemea ubaya tu. Pengine kila mtu fulani akienda nyumba ya ibada anamuomba mungu ampe nguvu ya kuishinda dhambi ambayo ww unaitumia kumpondea. Au pengine akasikia mawaidha yakapelekea kuacha mabaya.
@oracle_of_lagos@StephanieInii What you are discussing reflects on what kind of leader you can be. Each style you propose has their pros and cons. I prefer the direct and verbal leaders but not harsh ones as area of improvements really sound as they should and not easly covered and forgotten by the butter.
@Exquisite_255 Kufananisha vitu na kuweka conclusion haitoshi kuwa ndo ukweli. dhana za matrix n.k. Pia watu wanamezeshana kama mambo mengine tu. Dhana ni nyingi kuliko uhakika. Kufananisha al kaaba na hivyo vingine is among the stupidiest thing i came across today.