@Sativa255 Tena yeye ndo anatakiwa awaombe msamaha watoto wa watu anaowawekaga ndani baadae anawatelekeza.
Dhambi ya kuchezea watoto wa watu itamtafuna sana asipoomba msamaha adharani.
@420Cousin We mkundu wa Mulilo taarifa za mitungi ya gas sisi inatusaidia nini yani.
Mmeuwa watu wangapi hilo ndo tunataka kujua.
Sura ka matako ya Mulilo.
@Jambotv_ Kwa hiyo hii mashine ya propaganda zi kizamani ndo ma'am enu aliona inafaa kuwa PM 🤣🤣🤣🤣
Kituko hiki.
Any ways rais tutakaemchagua atateuwa Waziri Mkuu mwenye akili timamu na anayeelewa watanganyika tunachotaka.
“DEATH ROW DIARIES” – maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu katika kesi ya UHAINI ambayo Tundu A.M Lissu anashtakiwa nayo tayari ipo mikononi..
Death Row Diaries ya Tundu Lissu ina kurasa 140; ni kubwa kuliko I AM PREPARED TO DIE ya Nelson Mandela katika RIVONIA TRIAL 20 April 1964 na HISTORY WILL ABSOLVE ME ya Fidel Castro ya 16 October 1953 katika The MONCADA TRIAL. Wote walijitetea wenyewe..
Taarifa ya Tundu Lissu ina kurasa 140 ambazo ni moto tupu. Kurasa 140 siyo tu za maelezo ni darasa. Tundu Lissu akianza kuiwasilisha nitakuwa nawamegemea vipande vyote na kuvipa tafsiri. Tundu Lissu ameandika taarifa yake kwa kitasha cha ndani kabisa.
Katika maelezo yake, TAL amemaliza kwa kumnukuu Mtawala wa zamani wa Kirumi, Marcus Aurelius aliyesema “Death smiles at us all, All a man can do is smile back.” as acceptance of mortality. Acknowledges that death is a universal and unavoidable part of life.
Leo, Tundu A.M Lissu atakuwa anasoma kwa kiingereza na kutoa tafsiri kwa kiswahili mwenyewe. Kwa nondo ambazo naziona katika taarifa yake hii, ni halali kabisa jamaa wa upande wa Jamhuri waombe Mahakama iwasaidie kwa kuzima matangazo mubashara.
#TunduLissuSioMhaini #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection