BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS.
WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057
This 👇🏾 is Samia’s son Abdul Ameir Hafidh accused of crimes against humanity. shoved in the midst of the official delegation of Tanzania to Russia
His only claim to fame is being the President’s son yet here is front row!
Tanzania is officially a republic - but this family has zero understanding of this and behave like some royalty! How pathetic!
#SamiaMustGo
Msingi wa madai ya katiba mpya ni jambo muhimu katika siasa za nchi yetu sasa kuliko wakati mwingine wowote. Katiba mpya inaonekana kama chombo cha kuleta mageuzi katika utawala, haki, na uwajibikaji wa viongozi pamoja na wananchi kwa ujumla. Hata hivyo, pamoja na umuhimu huo, kuna jambo la msingi linalonipa wasiwasi mkubwa, nalo ni “mindset” tuliyonayo kama jamii juu ya haki, huruma na utu.
Katiba inaweza kuwa nzuri na yenye misingi imara ya kisheria, lakini bado ikashindwa kufanya kazi ipasavyo kama jamii yenyewe haina utamaduni wa kusimamia haki. Haki, utu na ukweli vinahitaji watu wenye ujasiri wa kuvisimamia bila woga. Pale jamii inapokosa ujasiri huo, hata sheria nzuri zinaweza kupuuzwa au kupindishwa kwa manufaa ya wachache.
Wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba katiba mpya inaweza kuburuzwa vile vile na tabia mbaya zilizojengeka ndani ya jamii ambazo hazijali utu. Msingi wake mkuu wa tatizo ni uoga wa kusimamia haki, utu na ukweli. Watu wengi huona ni bora kunyamaza kuliko kusimama dhidi ya dhuluma au upotovu. Hali hii inafanya hata mifumo iliyopo kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi.
Swali la msingi ni kwamba, kama jamii haiwezi kujisimamia katika mambo ya kawaida yanayohusu haki na utu, hata katika katiba ya sasa tunayotaka mabadiliko juu yake, je, katiba mpya ikipuuzwa wakati mtazamo wetu juu ya haki bado ni duni, tutapaswa kufanya nini zaidi? Hili ni swali linalohitaji tafakari ya kina zaidi kuliko mjadala wa kisheria pekee.
Ni dhahiri kwamba tuna tatizo kubwa sana la “mindset”, na bila kulitatua, katiba mpya inaweza kuvunjwa mbele ya watu wale wale na bila hatua kuchukuliwa. Hivyo basi, pamoja na harakati za katiba mpya, ni lazima pia tuweke mkazo katika kuamsha fikra za jamii, kujenga ujasiri wa kusimamia haki, na kurejesha thamani ya utu na ukweli katika maisha ya kila siku.
Kwa ujumla, katiba mpya ni muhimu, lakini haitoshi pekee. Mabadiliko ya kweli ya taifa yatategemea pia mabadiliko ya fikra za wananchi. Tuamshe fikra, tujenge ujasiri, na turudishe utu katika msingi wa maisha ya jamii yetu.
Kumbe kelele za ziara ya Urussi na uongo wa kupata business partners bottom line ilikuwa Lissu?
Hamu yao ni kuuwa Watanzania wangapi kabla ya kuiachia nchi waliyopora?
Hili halikubaliki natamani kila mwenye mapenzi mema afanye between ya ujumbe huu.
KWAKUWA NI HALALI KWA WAZANZIBARI KULINDA HAKI ZA WAZANZIBARI HAIWEZI KUWA HARAMU KWA WATANGANYIKA KULINDA HAKI ZA WATANGANYIKA.
Kwa yanayoendelea kujitokeza katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusu kujitanabaisha kwa misingi ya Uzanzibari na kulinda maslahi ya Zanzibar, je, si wakati sasa kwa Watanganyika nao kuzungumza kwa uwazi, kuhoji kwa uhalali na kujadili kwa kina masuala yanayohusu haki, hadhi na maslahi ya Tanganyika?
Je, Watanganyika hawana haki ya kuhoji na kulinda:
1. Bandari zilizopo ndani ya Tanganyika.
2. Misitu na rasilimali za mazingira za Tanganyika.
3. Rasilimali za asili zilizopo katika eneo la Tanganyika.
4. Hadhi, haki na umiliki wa ardhi ya Tanganyika.
5. Nafasi, haki na uwepo wa watu wasio Watanganyika katika idara na taasisi ambazo si za Muungano.
6. Uhalali wa viongozi wasio Watanganyika kuingia au kusaini mikataba inayohusu rasilimali za Tanganyika, hususan pale ambapo baadhi ya masuala hayo tayari yameondolewa katika eneo la Muungano kwa upande wa Zanzibar.
7.Kuhoji mchango wa Zanzibar katika kugharimia gharama za uendeshaji wa shughuli za Muungano na Ulipwaji wa Deni la Taifa.
Ikiwa ni halali kwa Wazanzibari kujadili, kuhoji na kulinda maslahi ya Zanzibar kwa misingi ya utambulisho wao wa kisiasa na kikatiba, kwa mantiki hiyo hiyo haipaswi kuwa kosa kwa Watanganyika kuhoji, kujadili na kutetea maslahi ya Tanganyika.
Katika mfumo wowote wa haki, usawa na kuheshimiana ndani ya Muungano, haki ya kulinda maslahi ya Zanzibar haiwezi kutenganishwa na haki ya Watanganyika kulinda maslahi ya Tanganyika.
Haki hizo zinapaswa kutambuliwa kwa usawa, bila upendeleo na bila kuonekana kuwa ni tishio kwa Muungano, bali kama sehemu ya kujenga Muungano wenye misingi ya haki, uwazi na kuheshimiana.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo Msingi bora wa kuliongoza Taifa kutoka katika vitendo vya Ukatili dhidi ya ubinadamu,ukiukwaji wa Haki za Raia na,Mauwaji na Utekaji vilivyofanyika kanla,wakati na Baada ya Tarehe 29 Oktoba 2026.
BAK MWABUKUSI.
Wazanzibari wanatuua, wanatutawala
Wanatubagua, Wanahodhi ardhi kila sehemu, Wanakula vya kwetu. Lakini kwao hatuwezi kununua ardhi, hatuwezi kuishi bila vibali na hatuwezi kutibiwa.
Hawa Makenge warudi kwao. Tutagawana mbao sio muda
‼️MUHIMU KWA WAZALENDO WOTE🚨‼️
Ikiwa imebaki mwezi mmoja kufikia SabaSaba kuna tangazo limewekwa na Gen Z na Gen zote kuwepo kwa maandamano nchi nzima.
Sasa nashauri serikali haramu, vyombo vya Dola na chama cha maharamia CCM yafuatayo:
👉🏽 nakumbuka ktk mazungumzo na marehemu Baba yangu alikuwa ananisimulia matukio aliyoyapitia na alisema unapoenda kuongea na watu waliogoma au walioandamana usitumie nguvu na usiende kuwaona ukiwa na hasira! Wasikilize wakutukane weeee hadi adrenaline zao zishuke ndo muanze kuongea ila waache wafunguke na wasikilize!
Mlikosa busara KABISA Oktoba 2025 mkakubali kupelekeshwa na Abdul ambaye hana cheo serikalini?! Leo wote mnarukana ila wote mmeonekana wauaji!
Sasa mmewaua MAELFUU na kuzika miili yao kisiri - je ndugu wa hao mliowaua mnafikiri mtapunguzaje hasira zao!? Kwa kumwaga damu zaidi? Mnajua mwisho wake!? Hizi adrenalin hazitapoa tena kwa maneno!
👉🏽 Vikosi vya ulinzi na usalama kazi yenu SI KULINDA CCM! Leo hii Mafwele ndo kapigwa ban na si mtu yeyote wa CCM au serikali na bado atahaha na wengine! Hawa wanasiasa wako wapi kuwasaidiane? Kesho mambo ya kibumbuluka Abdul ataenda zake Oman na mama yake! Mtafungwa ninyi! Ndo iwe fundisho!
👉🏽 Maandamano ni HAKI na si uhaini! Cha muhimu mlitakiwa kuruhusu hata CHADEMA na wanaharakati waongoze haya maandamano ili tuwe na njia nzuri na wazi - leo maandamano haya yanaongozwa na watu wasio na jina au sura! Hata mi leo mkinikamata maandamano yataendelea maana watu wamechoka washajipanga kwa kaya! Mi napenda huu utaratibu maana ndo itakuwa na mafanikio kuliko kukamata wachache na kutuwinda kila kukicha! Ila kwenu ni karaha hamjui nani ni nani! Na pia wengine wana hasira tu wanaweza kuamua kufanya magumu na hakuna wa kuwakanya - wameshavuka mstari wa kuambiwa jambo!
👉🏽 JWTZ mmeruhusu vikosi shenzi vya Abdul na Mafwele pamoja na jeshi mamluki ya nje to operate with impunity! Wameua mbele yenu kwa silaha wananchi wasio na hatia! Vijana wamefumuliwa ubongo mbele yenu na mlibaki kuangalia au kurudi kujifungia makambini!
Mmefungua mlango kwa ushenzi zaidi na kesho hata majeshi ya jirani mf ya Uganda wakiamua wenyewe kuvuka na kutuua mtashindwa kudhibiti! Mmeonyesha hadharani udhaifu mkubwa na pona yenu ni kusimamia ulinzi wa wananchi! Kama ambavyo Oktoba 29 tuliamini mnatulinda na watu waliandamana kwa kujiamini ndivyo 7/7 acheni wananchi waandamane na muwalinde haswa! Na msiruhusu Abdul au kikosi chochote kuwaua na wanajeshi watakaodhuru wananchi wachukuliwe hatua kali!
Acheni watanganyika wapumue! Na rudisheni nchi kwa wananchi tuanze upya!
Huu ujumbe si ya machawa maana hao wanajua dili yao imebuma tayari! Naongea na WAZALENDO waliopo kwenye mfumo na ninaamini mmenielewa
Sisi tunasema 7/7 tunatoka! Tulindwe!
#SamiaMustGo #Haki kwa wote na uwajibikaji kwa mauaji halaiki ya Oktoba
Dar es Salaam stand up! ✊🏽 Tarehe 11 June lazima kusimama na Tundu Antipas Lissu mahakamani. Hatuji kupiga picha, tunakuja kusimama na haki!
@tanpol, George Bagyemu & bosi wako: Hakikisheni hakuna raia atakayezuiwa kuingia mahakamani siku hiyo. Macho yote yapo kwenu! 🔥
#FreeTunduLissu #SimamaNaLissu
‼️MPANGO WA JESHI LA POLISI DHIDI YA CHADEMA‼️
Kama mtakumbuka siku kadhaa zilizopita ilisambaa taarifa kuhusu Jeshi la Polisi kuvamia nyumbani kwa Yoramu Mbyela (Huyu kwenye picha) ambae ni mfanyabiashara anaeuza vifaa vya CHADEMA ikiwemo matisheti, bendera, madera, kombati, n.k
Polisi wakiwa na gari aina ya FUSO walivamia nyumbani kwake, wakamlazimisha mke wa Mbyela afungue duka, kisha wakabeba na kuondoka na mzigo wote wa vifaa vya CHADEMA ambao waliukuta dukani kwake.
Mke wa Mbyela pamoja na Wakili wao wamefuatilia huo mzigo wao, Polisi wakarudisha baadhi ya vitu lakin mzigo mkubwa wakakataa kurudisha mpaka leo bado wamebaki nao.
Sasa nimejulishwa kwamba Jeshi la Polisi wamebaki na huo mzigo kwasababu wanampango wa kuutumia kufanikisha mpango wao dhidi ya CHADEMA hii ni kutokana na hofu waliyonayo kuhusu Maandamano ya 7/7 yani Julai 7, 2026.
Wamepanga kuwavalisha nguo za CHADEMA watu wao ambao ni Green guard, UVCCM na baadhi ya migambo kisha watawapeleka huko porini ambapo badae Polisi watajifanya kwamba wamevamia eneo hilo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Wananchi kwamba waliona kuna kundi la watu ambao hawajui ni akina nan.
Baada ya Polisi kuvamia eneo hilo watautangazia umma kwamba Vijana wa CHADEMA wamekamatwa huko porini wakiwa wanapewa mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya Maandamano ya Julai 7 ili Msajili apate sababu ya kuingilia kati aseme kwamba CHADEMA imevuja sheria ya vyama vya Siasa maana Sheria ya Vyama vya Siasa ilipiga marufuku vikundi vya ulinzi na mafunzo ya kijeshi mwisho wa siku CHAMA kinaweza kufutwa.
Lakin pia Jeshi la Polisi litakuwa linawavalisha UVCCM hizo nguo za CHADEMA kisha wanawatuma kwenye mikutano ya hadhara ya CHADEMA kufanya fujo ili ionekane CHADEMA wanagombana wao kwa wao.
Sasa ni muhimu sana Wanachama wenzangu mnapoenda kwenda Mikutano, hakikisha unamtambua mtu ambae umekaaa nae jirani ukiona kuna mtu/watu huwaelewi toa taarifa kwa Viongozi wa CHAMA, hawa wahuni wakivamia mikutano yetu inatakiwa muwape HAKI YAO YA KIKATIBA.