@IAMartin_ Wewe Martin MMM ndio umeitendea haki kauli ya totofautiane kwenye uchaguzi lakini hakuna kuhama chama na huko mbele tuwe wamoja. Kifupi unajitambua sana ingawa Mimi Sina chama ila shabiki wako!
@ChiefLumanyika Chukulia tu kirahisi kuwa mchezo umeahirishwa wala usiwaze kwa ajili ya mabaunsa wenu kuwazuia SSC. Je ungetangaziwa hivyo bado ungelazimisha kupeleka timu uwanjani na kudai point tatu? Si ungetulia TU Hadi utangaziwe siku nyingine ya mchezo? Acheni hizo Yanga!
Asanteni hatimaye nimefikisha 300K. Hizi ni jitihada za rafiki zangu ambao hu Retweet post zanugu. Leo nita follow kila atakaye Retweet post hii. Niinue na wengine.
@HenryKilewo@freemanmbowetz Ni Kweli Sasa nimeamini kulikuwa na uchaga Fulani ndani ya chama Kwa milio hii ya wachaga!! Hongera Lema Kwa kijipambanua kiume๐