VIJANA WASOMI,kama huna ajira & una hustle Kuondokana na umaskini,personally nitamchangia 20k kijana mmoja Kila wiki kwa ajili ya Nauli imboost kusambaza CV yake,pia Msomi yoyote Nitampa connection kupitia CV yake Aajiriwe,Na pia Nitatengeneza Fundraiser kuwaboost Mtaji! hapo Je?
Nimekutana na Bw. Joonkyu Yi na Bw. Daeyeon Jo kutoka kampuni ya Samsung C&T ofisini kwangu leo. Tumezungumza kuhusu fursa katika sekta ya ujenzi nchini ikiwemo ufadhili wa miradi ya miundombinu. Samsung C&T imejikita katika miradi ya ujenzi barani Asia. Wameridhia kufanya ziara nchini mapema mwakani.