Aksant mungu japo kuna wakati napitia changamoto na magumu lakini hujanipa moyo wa kukata tamaa..
Na pia aksant kwa wote wanaodhamini mziki wangu na ku uppriciest haso zangu nawapenda sanaa mjiandae kupokea kitu
#desmond music present
https://t.co/u8JD0LIhMe
#xoft vock classic @
There times of darkness
No vision, i keep asking
Why trouble never seems to end
Tha way thank you god for everything
https://t.co/u8JD0LIhMe
#xoft vock classic @
Hii ni spesho kwa cheusi mangala wotee
Wenye langi ya Africa ......cheusi mangala.
Kama umepata bahati ya kuisikiliza
Waweza niandikia mstar mmojawapo
Unaoukubaliiiiii kwenye hii ngoma
https://t.co/u8JD0LIhMe
#xoft vock classic@
Haya kitu kipya kutoka kwangu
Kama hujapata bahati ya
Kuitizama hii bonyeza hap
https://t.co/LrdVCgBI6O
Kuinjoy mziki mzuri kutoka Kwanguu
#xoft vock classic@