I’m sorry God to Update myself
I believe I’m a God That’s why I create Different Things different Energy
I know you’ve Give me This way and I Turn Another Light Into Another way
But I as you tough me the image of mine it’s the same as yours.
Do Not Show Your Husband Your Real Colors All Your Entire Life To Protect Your Marriage To Protect Yourself Against Your Own Visions Against Your Own Desires Or Blessings From Your Man Send Directly To God And Success. What Is Meant For You Will Never Be Hidden From God Even If It Is Hidden From The World.
Kubeba Mimba Sio Zambi Anaye Towa Mimba Au Kuuwa Mtoto Wake Mwenyewe Ndiye Anaye Tenda Zambi Tafuteni Kwenye Vitabu Vyote Vya Dini Panapo Hilo Andiko Lakubeba Mimba Ni Zambi,Tuna Rudi Hapa Jianamu itawabeba wengi Wote Ao Wa Mama R.I.P Wote Moto Utowaacha Kamwe Mungu Baba Waurumie
Shule Kubwa Liko hapo Watoto Wa 2000 Someni Vitabu vya Dini Majumbani Kwenu Hili Muweze Kuwa Wachamungu Wazuri Kuna Wanawake Wanauwa Watoto Zaoh Kisa Tamaa za Dunia na Tamaa Za Mwili Lakini Wanashindwa Kuelewa anaye Kushauri Kufanya Zambi Sio Mwema Kwako Na Anaye Kushauri Maovu.
Na Utaka Watu Wengi Wazifuate Tu
Huku Dini hizo Zikishindwa Kulitangaza Neno La Mungu Kikamilifu, Mwanamke Huyo Akasema Mwanaume Huyo Amekataa Ujauzito Nafanyeje Nikamwambia Zaah Mtoto Sio Haramu Mtoto Ni Zawadi Kubwa Kutoka Kwa Mungu Mwanamke Huyo Alifurai Sanaa.
Kuna Mwanamke Aliuliza Nilibeba Mimba Je Ni Zambi, Nikasema Hapana Nikamwambia Kutoa Mimba Ndio Zambi Mwanamke huyo akauliza
Tena Nimetengwa Na Dini Kisa Ninayo Mimba Kabla ya Ndoa, Nikasema Sio Zambi Pia
Kwasababu Dini Nyingi Hapa Zimejiwekeya
Sheria Zaoh Tu!
Mwanamke Anaye Kupenda Mapenzi Ya Kweli Awezi Kumuacha Mume wake Kisa Sababu Ambayo inaweza kuongeleka Na Kwenda Kwao. Ukiowa Mwanamke Wa Aina Hiyo Tambua Auna Mke Hapo. Huyo Alikua Mke Wenu na Maanisha Kwenye Ndoa YENU Wewe Na Mke Wako Ulikua Naye Lakini Mke Wako Alikua Na Wengi
Vijana Ukiona Umeowa Mwanamke mwenye Tabia hizi Tano Achana naye
Tambua Akuna Kwenye Shida Na Raha
1: Cheater
2: Ukumrizisha
3: Kumpa Mimba Mwanamke Mwengine
4: Kusema Ataenda Kwao Kisa Mume Wake Kaowa Mke Wa Pili Awezi kuolewa Mitara
5: Kakuacha Kisa Ukumpa Muda Wako.
Kuna Dada Fulani Kaniuliza Je Ni Kweli Mwanamke Kumuacha Mume Wake Kisa kamdunga Mimba Mwanamke Mwingine, Nikamjibu Hapana Uwezi Kumuacha Mume Wako Kisa Amemdunga Mimba Mwanamke Mwengine Nikasema Wacha Nikupe Somo kidogo Hili Ukiweza Kuingia Kwenye Maisha Ya Utu Uzima Uweze Kukaz
Nilipendwa na Wengi Lakini yote and yote Awakuwai kunielewa watakuja Kuelewa Kidogo Tu! Kidogo Tu! Pale Wakiona Atua zangu zikiwaacha Na mshangao Na Vilio Vikubwa na Majuta maumivu ya sio zuwilika wanadamu vipofu viziwi na kumbukeni Hata vitabu vya dini usema waigeni watoto wacha
My God My Father in Heaven
By My words by your words
I’m the chosen one in one of Trillions of this Earth
Walking Through Light and Darkness
Still Learning the Power you Put inside Me.
PSALMS 125-129
It Is useless to work so hard for a living,
getting up early and going to
bed late.
For the Lord provides for those he
loves,
while they are asleep.
Dear God you created everything on this earth and you see everything, so please guide me away from this mess and give me peace in my heart and mind. Help me focus on what is right for me and not get pulled into what is not meant for me.
Dear God help me to not be in all this romantic drama with these people, they don’t see what you are trying to show them even when they know it’s true they still follow the wrong things in their minds and souls.
love is mental health,” that’s an interesting way to frame it. Real love—whether it’s for a partner, for others, or even something spiritual—usually requires awareness, honesty, and emotional stability. Without that, people can confuse attachment, desire, or distraction with love
and emotional pain can show up as constant chatting, cheating, or chasing attention. It can look like love on the surface, but underneath it might be something unresolved.