Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kinapenda kuwatangazia kwamba kinapokea maombi ya kujiunga na mafunzo ngazi ya Stashahada na Astashada kwa Mwaka wa Masomo 2020/2021 mafunzo. Tembelea tovuti yetu- https://t.co/K7yAeMHJtE au 0765 279580 / 0766633500 / 0712 345753