Ndugu mwanaume unanyonya ya nini? 😅🩺
Usisahau kupima H. Pylori🦠,dundumio ,FIGO,,mafuta ,sukari ,brusela . Haya matatizo ni balaa jipya mjini .
#doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥
@azamtvtz Simba ni timu kubwa, wanatakiwa wasome mipango ya Wapinzani mapema ili wao wacheze kama timu ya pili, naamini watapata matokeo mazuri kwaajili ya kulitetea taifa letu
#simbanguvumoja
Ligi ni 7 odds 223
Option Over 1/ over 1.5 /and Over 0.5
-England
-Spein
-Germany
-France
-ltaly
-Turkiye
-Netharlands
Game za mwisho iziii tupate chochote kitu,, jmoc na jpili,,
Vigezo vyakupata code
Ree tweet
Then comment nikikuona nakudondoshea Dm tuishi
Mwanaume yeyote asiye na matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, Huonyesha ishara zifuatazo:-
1. Uume husimama ukiwa imara wenye nguvu siku zote.
2. Kukaa kifuani kwa muda mrefu, Wastani ni kati ya dakika 10-35 Kwa mshindo mmoja.
3. kuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu, Bila misuli ya uume kuchoka.
4. Kuwa na uwezo wakuanza na staili yeyote nakuwa na uwezo wakubadili staili kila baada ya dk 10.
5. Uume kusimama wenyewe bila kushikwa shikwa, wala kuwa stimulated kwa kupigishwa puchu.
MWISHO: Kuwa na uwezo wakufanya na kukamisha tendo kwa ukamilifu mkubwa mabao 3 mfululizo, Shahawa nzuto na zenye mvuto na harufu sahihi ya Shahawa imara.
JE..? We unaonaje kwa upande wako..? Upo na afya njema..⁉️
Ps; Kama jibu ni hapana Njoo Whatsapp Nikupe Miongozo ya siku 14 ya urijali bila dawa (UBIDA PROGRAM)....👇
BOFYA 👉🏽 https://t.co/SGxTgCXBCR
Waziri wa zamani wa Ardhi, Prof. Anna Tibaijuka amesema afya za Mamilioni ya Waafrika na Watanzania zipo hatarini kutokana na uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kusitisha misaada kwa Mashirika ya Afya Duniani hususani PEPFAR na GLOBAL FUND ambapo amesema uamuzi huo ukitekelezwa ni kiama.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”
“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”
“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
#MillardAyoUPDATES
Jifunze kutunza afya yako.. Huu ni mchanganyiko wa vitu vinavyoleta uhai wa mwili wako na kukulinda na magonjwa mbalimbali
Zingatia itakusaidia
1. Changanya Coca-Cola na vitunguu - vinaongeza ufanisi wa kumbukumbu na afya ya moyo
2.nyanya na sukari - vinaondoa mabaka ya chunusi