Jeshi la Polisi limeona taarifa katika mitandao ya kijamii ikiwa na kichwa cha habari TAARIFA YA HARAKA.
Taarifa hii haijulikani imeandaliwa na nani na inatokea nchi gani.
Pia tahadhari inayotolewa katika vituo vyetu vya Polisi hakuna taarifa kama hizo zilizoripotiwa.
Rais Samia Suluhu ameagiza tozo ya TZS 100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta irejeshwe kwa sababu hesabu zake tayari zilikuwa zimepigiwa kwenye bajeti. Aidha, amesema kwa mwenendo wa upandaji wa bei ya mafuta duniani, kuondoa TZS 100 hakutasaidia, ila kutainyima serikali mapato.
Nawapongeza sana watoa huduma wote wa Afya Nchini Tanzania kwa namna mnavyojitoa kufanya kazi kwa moyo kipindi hiki cha mapambano ya ugonjwa wa Corona.
Mungu awalinde na kuwapa nguvu zaidi.