Karibu sana Jimbo la Hai Mhe Makamu wa Rais, Asante kwa Ufunguzi wa Mradi Mkubwa wa Maji safi na salama, jambo ambalo lilikuwa kero kubwa kwa wananchi, Leo limekwisha.
Asante
@AnanileaN@SuluhuSamia Hii ni kweli, ni wakati sahihi kwa pamoja kuchukua hatua ya kutunza aridhi yetu(mazingira) na kutafuta mbadala. Kwa ngazi yetu tumeanza mawasiliano ya kutafuta ufumbuzi lakini wataalam wenye study mbadala na kinga karibuni kwa ushauri.