Kiboko kabisa ya Mipira ya Kutenga๐๐๐ฅ Mipira inayoitwa Migumu jamaa ndio anafungaโฆ! ๐๐ฅ
Usikute huyu jamaa ni mganga wa masuala ya naniliu๐๐ฅ๐
DON DINGOO ndiye Kipimo rasmi cha kushindikana๐
Shule ya msingi hii ni mali ๐๐ซต
Mademu nimepiga sana kupitia hii tu, kwanza dawati langu lilikua limejaa mademu tu
Usenge ni pale miti inaishiwa inatakiwa utafte mbinu nyingine wa kuwabakisha wale mademu ๐๐
Hello Dearsโฅ๏ธ Kuna nyakati hatua za utafutaji wetu zinakanyaga mahali pagumu sehemu zenye mashimo na miiba mikali giza la kutisha na hatari nyingi zinazo katisha tamaa lakini ukijivika ujasiri na kusonga mbele Mungu si mtu ipo siku atakufungulia milango ya mema USICHOKE๐ช๐