Narudia hatuwezi kupuuza taarifa yoyote kuhusu jaribio la kumwua Lissu
Mwaka 2017 alisema anafuatwa na wanataka kumdhuru - watu wengine wakajua anatafuta kiki - the rest is history!
#FreeTunduLissuNow
Nimesoma taarifa ya hii serikali kuhusu ujio wa Rais wa Congo nimecheka sana.
Yaani Ukisoma hiyo taarifa , Utagundua hii nchi huko serikalini hakuna watu wenye akili na maarifa,Unatuambia kwamba unawakaribisha wacongo kuwekeza kwenye Kilimo,uvuvi na mifugo.
Kwamba Mkongo ana teknolojia gani ya kuja kuwekeza kwenye Kilimo?
Mkongo huko kwake ana changamoto ya ardhi mpaka aje kuwekeza hapa kwenye Kilimo?
Mkongo sio Mkulima wala mfugaji , Mkongo anatalegemea hata nyanya kutoka nchi jirani.
Ukifika kwenye mpaka Tunduma utakuta Maroli yanapakia nyanya,mchele,unga wa sembe kupeleka Congo kwasababu wao hawana kilimo cha maana,hawana teknolojia .
Unasema unataka ushirikiano na wacongo kwemye madini,
Sielewi kama wanajua kwamba Wacongo wana madini kuliko sisi.
Huko kwao hawana teknolojia yoyote na hawana hata mfumo sahihi katika kusimamia sekta ya madini, Madini yao yanaishia kuporwa na wachina na wageni.
Sisi kwetu,Tunahitaji Mcongo kama mteja wa Bandari zetu ambapo kwetu kama nchi tunapaswa kuhakikisha tunakua na miundombinu sahihi kuanzia Bandarini hadi mipakani.
Barabara, reli na kuondoa usumbufu mkubwa barabarani.
Tunapaswa kuhakikisha mipaka ya Tunduma na Kigoma inakua kisasa ili kuhakikisha mzigo unafika kwa wakati, sio kujadili Kilimo,uvuvi,madini na mifugo na watu ambao wamefeli na hawana uwezo wowote kimtaji na teknolojia.
WOW……….
I will reserve my comments for now maana naogopa kuamini mtu wa CCM 100%, nikikumbuka imani niliyoweka kwa Magufuli na kampeni niliyomfanyia alafu kilichokuja kutokea basi najikuta najiambia nijipe muda ila naroho yangu inataka mnoooo kumuamini Nchimbi maana alichosema ndicho nchi nzima tunalilia………
Ila let me say again, WOW!!!!!!!!!!!!!
🚨🗣 Hakimi on Morocco performance in this world cup:
"Before the start of the Tournament, I said we're the Brazil of Africa but, a lot of people laughed at me, now we're just proving that we're the best team in Africa"
"We will try our best to win world cup and show everyone that, we're the best"
🚨 BREAKING: Jose Mourinho told Real Madrid:
“We have incredible talents, but where are the more experienced players gone? I want more of them. I want a balanced squad.” @elmundoes
🚨🇮🇹 Marco Palestra has reached an agreement on personal terms with Manchester City, but has not ruled out a move to Inter.
A final decision will be made by Atalanta, who remain firm on their €50M valuation plus €5M in add-ons.
[via @repubblica]
🚨⚠️ EXCLUSIVE: Erling Haaland’s father Alfie and agent Rafaela Pimenta clarify Real Madrid agreement reports.
“All very entertaining but NOT true. We wish all the best for both candidates in the Real Madrid elections”.
Exclusive statement from Alfie Haaland & Rafaela Pimenta.
🚨⚠️ OFFICIAL: Manchester City statement.
“The stories which have emerged from Spain regarding the future of Erling Haaland are FALSE”.
“There is NO chance of this happening and there is no contractual clause to enable it”.
“We are considering LEGAL ACTION for the use of our player image in this context”.
Kakipengele haka ndio kanawaumiza vichwa.
Hapa penye "Asset" hapa ndio ishu ilipo.
Hawa wanaiba bongo wanaenda kuwekeza huko. Wamehamisha familia zao zote zinaishi huko huku tumebaki sisi TUNAPIGWA RISASI ZA VICHWA.
Kwahiyo vilio vya jana usijefikiri vinakuhusu wewe mwananchi wa kawaida kutokea NTOKELA.
Na hatua tuliyofika sasa CHAWA hawana kazi tena-chawa wanaenda kupoteza KAZI SOON.
Tuliwaonya sana kuwa tutafika hapa mkatamba nyie mnae "KABUDI" mtaalamu wa sheria atawasaidia. KIKO WAPI?
Na BADO soon kuna ndoige nyigine inashuka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎