Neno ktk Mwanzo 1:28 Linasema
.
Mungu akawabariki na kuwaambia, zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki.
.
Muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.
.
Ni mpango wa Mungu wewe uwe mtawala wa rasilimali zake hapa duniani.
π₯Oyaa Juzi tumeleta AUDI A7 2011 3.0L TFSI Supercharged Sportback Model Hii Machine ni Balaa..
.
Top Speed inasoma 300Km/hr na inafikika vizuri kabisa cause Tumepiga test drive chuma ikafika 260Km/hr..
.
Nimekuwekea video hapo chini + hints muhimu kuhusu hii gari twende π..
π¨HII machine ni Rolls-Royce Cullinan mali ya Speaker wa Bunge la 11 Hapo Uganda kwa MU7..
.
Na hapa CHUMA imechukuliwa na POLISI baada ya Mama kuwa na shutuma za rushwa kubwa..
.
Mama ameonekana kuwa na utajiri wa kutisha [illicit enrichment] ambao chanzo chake hakijulikani π
kusudi la uwepo wako wewe hapa duniani..
.
Ukishindwa kutimiza maagizo haya matano unakua hasara duniani, nikutie moyo kwa chochote kile ambacho Mungu amekiweka katika himaya yako [rasilimali] kizidishe [utilize it] na Mungu atatukuzwa kupitia wewe..
Neno Katika Mwanzo 1:28 Linasema..
.
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha, mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi
.
Haya ni mawasiliano ya awali kabisa ambayo Mungu π
aliwapa viumbe wake, na andiko hili linajumuisha seti tano za masharti na kanuni katika usimamizi wa mali za Bwana..
.
Kuna Kuzaa, Kuzidisha, Kujaza, Kutiisha na Kutawala hili ni jukumu la Mwanadamu kutoka kwa Mungu likiwa na lengo la kutimiza mapenzi ya Mungu na π
Kimbingu wa wewe kuwasiliana nae kwa njia ya maombi na kukuza uhusiano wako na Yeye, anasema Baba Yenu anajua mnayoyahitaji kabla ya kuomba..
.
Jumatano ya leo kama unajambo flani unahitaji Mungu akutendee basi liweke Dhahiri kwake na utarajie majibu kulingana na upendo wake,
Neno Katika Mathayo 6:7-8 Linasema...
.
Mnaposali, msipayuke maneno kama watu wasiomjua Mungu.
.
Wao hudhani kwamba Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.
.
Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba
.
Kuwa Dhahiri [specific] katika π
maombi yako, usiwe na maombi ya jumla, Mfano usiende kwa Mungu na kuomba Mungu akupe mke/mume/kazi/ajira..
.
Sema ni kazi/ajira gani na kwa nafasi ipi, mke/mume wa aina gani ambaye unaomba kwa Mungu akupe..
.
Mungu anajua tayari kila kitu kuhusu wewe ila ni utaratibu wa π
Unapoianza siku ya leo kama Kristo alivyofanya maombi kipaumbele chake kila alfajiri kabla siku haijaanza nikutie moyo na wewe tembea katika njia hii na hakika utashinda katika yeye aliyekushindia..
Neno Katika Luka 11:1 Linasema...
.
Ikawa alipokuwa mahali fulani akiomba, alipokwisha, mmoja katika wanafunzi wake alimwambia..
.
Bwana, tufundishe sisi kusali, kama vile Yohana alivyowafundisha wanafunzi wake.
.
Maombi ni muhimu tena ni uhai, Kila asubuhi tumia muda ili π
tuendelee kuimarisha Maisha yetu na misuli ya maombi kwa kufanya maombi kwa ratiba maalumu.
.
Maombi ni pumzi ya nafsi, ni nguvu za kiroho, usipuuze kufanya maombi, na usiwe na maombi ya kushitukiza yasiyokua na utaratibu maalumu, ukiwa hivi utapoteza Muunganiko wako na Mungu.
Juzi Kati camera zime-mumulika Daudi akiwa kwenye Bentley Flying Spur.
.
Moja ya expensive na full sized luxury sedan kutoka kwa Mkoloni huko Uingereza kwa Malikia.
.
Kama wapiga kura tukaitolea macho kumchuzi huku tunawaza ukosefu wa madawati Shule Msingi Nyambitilwa kibondo.
β οΈMPYA : Nikumegee Siri Kidogo Kuhusu Kuagiza Gari Japan..
.
Mara nyingi umekua ukiagiza gari Japan au hata ukinununua hapa hapa Bongo unazikuta na stickers kwenye Kioo cha mbele na Nyuma..
.
Zile stickers huwa na maana zake though wengi wetu huwa hatujui kaa vizuri ule MADINI..
Neno Katika ISaya 41:10 Linasema..
.
Usiogope, maana mimi nipo pamoja nawe, usifadhaike, maana mimi ni Mungu wako..
.
Nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia naam, nitakushika kwa mkono wangu wa kuume wa haki yangu.
.
Hili ni neno kwa Waisraeli ambao wengi wao walikua katika ππ
hajawaacha anahidi kuwa atawalinda na kuwarejesha..
.
Nikutie moyo mtu wa Mungu inawezekana unapitia magumu flani maishani mwako Usiogope ushindi unakuja na tambua ya kwamba Mungu yuko Pamoja nawe..
.
Atakutia nguvu na anakualika ukabidhi Maisha yako kwake ukiweka Imani yakoπ