TOKOI SEHEMU YA 1
HADITHI YA KIPEKEE NA YENYE MVUTO, SONGA NAYO MPAKA KILELE CHAKE
MTUNZI: SACHEM & LOY-M
WHATSAPP: 0731743770
"Hofu yatanda, giza linazidi na kuiteka anga, naona kwa macho yangu kuwa baada ya saa… https://t.co/qFeDwMHDQG
CHOMBEZO: SHANGAZI ANATAKA
WATUNZI: SACHEM KENYA TEAM
SEHEMU YA KWANZA
Jayden au Jay, kama wenzake wanavyopenda kumuita, alikuwa kwenye basi akitokea mkoani Mbeya alikokuwa ana soma kidato cha sita, na sasa alisha… https://t.co/zAoE7I3t6h
SAFARI YA MAPENZI: 72
Asanteni sana wapendwa wangu kwa kuniwezesha nawashukuru kwa sapoti yenu.
Mpesa: +254 710 713609
Mtunzi : Sachem Mrisho
FOLLOW US HERE
Whatsapp:+254731743770
Email: [email protected]… https://t.co/vrCzuyhCYT
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 14
Siku zilisonga Shaida akiwa amerudi kwao. Baada ya mwezi mmoja kupita, dalili za mimba zilianza kujitokeza kwa binti mrembo Shaida. Haikuchukuwa siku mimba… https://t.co/eDldUv2IQg
Eddy alimshika mkewe na kumkumbatia huku akimbusu kichwani.
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 12
Alfajiri Shai aliamka kutoka usingizini na kupapasa anapolalaga mumewe ila hakumsikia, jambo… https://t.co/i2jBX5nWEM
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 11
"Vipi kuhusu mimi" mara hii Shai alijitoa muhanga na kumuuliza kijasiri.
"Njoo" Eddy alimwita kisha Shai akaacha kazi aliyokuwa anaifanya na kumfuata Eddy… https://t.co/KNiMNL38oy
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: @SachemKenya
SEHEMU YA 07
"Kwahiyo kitu gani, hujui kuwa nampenda mdogo wako?"
"Weee! Funga mdomo wako"
"Hivii kama wewe..... unahisi hapa utaolewa na nani? Mimi sikupendi Joel kasema… https://t.co/4682N7sqpb
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 06
"Sasa kwanini nikikuomba kitu huwezi nipatia hali ya kuwa mimi kila kitu nakupatia"
"Nisamehe siwezi we nioe kwanza" Shaida aliongea kwa ujasiri na kuondoka huku… https://t.co/hBZxdBCpzt
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 05
"Aaah msela mbona hivo, basi ntamchukuwa mkubwa" Dan aliongea na kumfanya Eddy apinge moja kwa moja.
"Haiwezekani tafuteni sehemu nyingine hatuwezi kuchukuwa… https://t.co/5iYf8BOCXR
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 04
TULIPOISHIA: Shaida ni binti mpole, vile vile mstaarabu kuliko dada yake Aisha, aliinua ndoo yake na kumfuata kijana huyo ambae kapiga hatua chache kurudi nyuma… https://t.co/R3cBRfcFou
taratibu maongezi yakiendelea.
"Ntakuja kukuoa nakwambia" Ndende alimtania na kumfanya Shaida achukie na kuchukua ndoo yake ya maji ili kuondoka.
"Sijamaanisha" Ndende alijitetea.
"Ukirudia kuniambia masuala ya… https://t.co/ZpjwLKlXe6
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 02
"Mmmhh Mungu wangu kina nani hawa?" alijiuliza moyoni bila kupata majibu, haraka alitoka ndani akiwa na kiti mkononi. Alipo wafikia vijana wale wa tatu,… https://t.co/MG7PCMFl9o
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 01
UTANGULIZI: familia ya mzee Athuman ni familia yenye maadili mazuri ya kidini na ya kidunia. Licha Mazingira waliyokuwa wakiishi yalikuwa ya kushangaza Kidogo.… https://t.co/NIraJzoVA5
SIMULIZI: SHAIDA
MTUNZI: SACHEM MRISHO
SEHEMU YA 04
TULIPOISHIA: "Umeachika?"
"Ni sawa sawa na kuachika maana Eddy na shemeji zangu wameondoka tena bila kuniaga"
"Unasema kina nani wameondoka?" alihoji mzee… https://t.co/qqEpTAwAO8
SIMULIZI: MAANDIKO
MTUNZI: SACHEM MRISHO
M W A N Z O.
Ni maajira ya saa tatu asubuhi jua limeachia mionzi na kufanya watu kuisaka vitamini D,ili kujenga mifupa na kufanya mwili kuwa na afya ,hasa kwa wazee na… https://t.co/ftpGheHOa0