Tumeenda Shakahola apo Githu kushika maingwa na my G, vijana wakaanza za ovyo, bois wangu ametoa mguu ya kuku ao wanisa wote (plus mimi) tukashtuka,kuact normal nkadai kuwachai mali na mamkia.Bois wangu akanisho niache heshma ndogo ati ye afanyangi izo upuss.😭😭
Mtu mwenye alikosa kunitaftia attachment yenye mtu alipwi mpaka nkachelewa(nlijitaftia nkapata btw) ndo ako allover ati amenitaftia kazi na sishiki simu zake? Cut that performative bullshit Old Man aki.