Halafu mnasema nina maneno makali? Nchi nzima kuna shida ya upatikanaji wa mafuta na upandaji holela wa bei, waziri anayehusika badala ya kutafuta alternative yuko busy kufanya kazi ya wizara nyingine. Muulizeni Biteko siku hizi mambo ya familia yamehamishiwa wizara ya nishati?