@EsirEid 1 Kwanini Mgonjwa alihamishwa chumba?
2 Unasema umempatia matibabu ya kina, kwanini mgonjwa ameshindwa hadi kutembea na haujaeleza sababu ya kidaktar?
@EsirEid hao watu huwa wanachangamoto ya ukatonta.
Mama akiteua waislamu 4/ kwa wakristo 3 wanasema udini ila akiteua wakeisto 10/kwa waislamu 2 wanakuwa kama wanaaga maiti