VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 John Heche @HecheJohn amesema chama hicho hakijawahi kukataa maridhiano na kipo tayari ila hakiwezi kuyafanya haliyakuwa Mwemyekiti wake Tundu Lissu akiwa gerezani.
Heche amesema leo Novemba 10, 2026 akizungumza na waombolezaji katika msiba wa Alute Mughwai Lissu ambaye ni kaka wa Lissu uliofanyika Mahambe, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
"Tunataka maridhiano ya ukweli sio ya hila na uongo na hakuna mazungumzo yatafanyika Mwenyekiti wetu akiwa ndani na mimi namwambia Samia(Rais Samia Suluhu Hassan) mwenye majibu na matatizo ya nchi hii yupo Ukonga" amesema Heche
Mzee Warioba anasema Watanzania waoliouawa na Chama cha CCM kwenye maandamano ni wengi kuliko Watanzania waliouawa na Uganga kwenye vita ya Kagera….. This is deep.
Na bado wanaishikilia nchi kwa bunduki.
Huwezi kuua Watanzania zaidi ya elfu 10 na ukaendelea kutawala. Hatukubali.
Tanzania is crying for justice. Tanzania is bleeding.