@HecheJohn We Heche jifunze kabla ya kucoment kitu kama hukijui, Huduma za Afya Zanzibar ni bure kwa Wazanzibari kwa sababu wanachangia, Watanganyika waende na pesa watibiwe kama ilivyo Muhimbili. Mkitaka bure anzeni kudai kwenu. Hata Wazanzibari wakija Bara huduma za afya wanalipia
@GIVENALITY So I can pay Harmonize to support criminals and he will say I didn't do anything wrong. He is an enabler, hawa wasanii wanatakiwa wawe na washauri na sio chawa.
@ClubMagufuli Haya ni mambo Tanganyika iliizuia Zanzibar:-
1. Kujiunga Jumuia ya nchi za Kiislamu
2. Rais wa Zanzibar kuondolewa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania
3. Kujenga bandari kubwa ya mizigo
4. Kuizuia Zanzibar kuchukua mikopo
5. Kuondoa mipaka ya Zanzibar
Hii ni faida ya Tanganyika
@ClubMagufuli Tangu lini Muungano huu mloutetea na kuulinda umeanza kuwa hauna manufaa. Masheikh wa Zanzibar walipewa kesi ya ugaidi mkawafunga Tanganyika, kosa ni kudai haki ya Zanzibar kwenye Muungano