@mbwana_mshindo ishu kusajiri wachezaj bora pia tukujuze kuwa walimu wa vilabu vyetu awafanyagi usajir wao wenyew kazi yao ni kutoa ripoti ya maeneo yanayotakiwa kuongezewa wachezaji
@ahmed__ally Wote Aziz ki wanamjua tunawakumbusha kuwa ameongeza mkataba kabla msimu ujaisha uyo lawi mtampigia kelele wenyewe tunaanza na Ngao ya jamii🤪🤪🤪
@ayubu_madenge Ndiyo mjue maisha ya duniani ni mafupi kifo ni fumbo tosha aijalishi Cheo chako,elimu yako au wadhifa wako utakufa tu vyote utaviacha apa duniani