Simba SC tumetajwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuwa kwenye orodha ya klabu zinazowania kufuzu Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup 2025). #WenyeNchi#NguvuMoja
@babalao__ Ngome zipo mbili moja IPO Zanzibar na nyingne Ni ya Jeshi IPO tz bara hyo ya zanzibar haijacheza na Simba Ila wametumia logo Yao wakat wa kutoa taarifa ya mchezo ,,,
@Iamfelixtz Kumbe kipa asipocheza anakwa na clean sheet kwenye huo mchezo!???kuna Namna mpira wa nchi yetu umepiga hatua Ila kuna wapotoshaji wengi wanaaribu soka letu mitandaoni