Sasa mlimuondolea nini Mbowe kwenye chama kama bado mnataka kuendelea na siasa za Mbowe? This is exactly what Mbowe would have said and done ili nchi iendelee na business as usual.
Siasa ulizo describe hapo ndio siasa zilizofanya wananchi walisapoti Mbowe kutoka madarakani. So Leo mnatusaliti na kuturudisha kwenye siasa za Mbowe??
So mlitaka kumuondoa Mbowe ili mkae nyinyi kwenye usukani ila muendelee na siasa zile zile za Mbowe za kitapeli za kujifanya mnatumia busara na upendo na amani? So tatizo halikuwa siasa za Mbowe, tatizo lilikuwa Mbowe alikuwa anakula pesa za CCM peke yake mkataka kumtoa mmpokee nyinyi directly?? Maana hii statement ulitoa ni kama umeandikiwa na Mbowe. Yani hizi ni siasa za Mbowe 100%.
Siasa hizi mmezifanya miaka zaidi ya 20 sasa na hazijazaa matunda mpaka siku wananchi walipoamua kufanya siasa zao wenyewe ndo mambo yaka move. Leo mnasema mnataka kuendelea na siasa zenu za miaka yote?
Lema hii ni lugha ya kufika bei ya maridhiano, wala usitusumbue na migazeti. Hii ni lugha ya kwamba mko tayari kukaa mezani na wauwaji ON THEIR TERMS kwa kisingizio cha kutaka kuwa tofauti na wauwaji. Mnataka kujificha nyuma ya umalaika na amani ili kufanya maridhiano na wauaji on terms za wauwaji.
La Mwisho huyo Lissu unaejifanya wewe ndio unamjua kindakindaki aligoma kumpa heshima huyo muuaji na kumuita “mama”. Care to explain why unaenda tofauti nae au Lissu nae sasa hivi anamuita “mama”? Tupe za ndani.
Ahsanteni sana Chadema kutuita sisi key board warriors, tarehe 29 October mlitoka nyinyi na familia zenu.
La Mwisho, tunaomba official statement ya Chadema juu ya maneno ya Lema na issue ya kutoa pole kwa muuaji wa Watanganyika. Wala hakutakuwa na hard feelings, we will understand ila tunaomba mtuambie in black and white.
NIWE TU MKWELI, SIJAWAHI KUWA DISAPPOINTED NA LISSU MY WHOLE LIFE KAMA HII ISSUE. YANI ROHO INANIUMA!!!!!!
HE CAUSED SUCH UNNECESSARY CONFUSION AMBAYO SASA INAZAA MAUMIVU KWA WATU…… SO PAINFUL YANI.What was the point of this? Kawapa mpaka kina Lema upenyo wa kutoka na agenda zao kitu ambacho walikuwa wanahangaika kufanya for a long time ila Lissu kawapa upenyo.
Na wale mtakaosema oooh Mange Kimambi anamsema mpaka Lissu, aisee Lissu alishasema hataki machawa, anataka kuambiwa ukweli na nna wahakikishia akionyeshwa hizi posti zangu za kumkosoa hato maindi hata kidogo, anaweza hata kukubaliana nazo.
Lissu sio kama huyo muuaji wenu aliesema kabisa ‘mimi nna machawa wangu”. Lissu hataki wafuasi mang’ombe yasio question anything na hili alishasema publicly. Lissu anataka wafuasi intelligent wasioyoyumbishwa au kufanya uchawa kwa viongozi, hili kasema mara kibao. Lissu anataka wafuasi wanao m-question na kumkosoa hata yeye mwenyewe.
I dare anybody akamwambie Lissu nilichosema aone kama Lissu atakuwa disappointed .
Na nyinyi wenye access tunaomba mumuambie Lissu mtafaruko aliouleta huku nje na tunamuomba arekebishe ili tuendelee kumpigania instead of kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Huu mjadala lazma Chadema watafute jinsi ya kuufunga haraka maana unafungua vidonda vya October 29, na wananchi hawajui nani yuko nao na nani anawang’ong’a.
We need to know if Lissu is with US like we are with him au kama amechoka mateso na kaamua kusalimu amri. Mtuweke wazi.
We can’t bear this uncertainty…..
@ChademaTZ2@HecheJohn Please msitukalie kimya hii issue, tuambieni ukweli na kinachoendelea ili sisi tujue where we stand.
Sasa Ommy Dimpoz na yeye ni wakuwachamba Watanzania ambao wanachukizwa na Uchawa wa Wasanii kwa Idd Amin Mama.
Yani mtu ambae bila kupelekewa moto na wanaume wenzie hatoboi.?
Kuna watu ni wakuwahurumia kwa kweli.
Kesi ya Uhaini ya TAL itakuwa kWa ajili ya Plea Taking tarehe 08/09/2025, Tutatoa Muongozo kwa wanachama na watanzania wote kuelekea tarehe hiyo muhimu muda sio mrefu! Uelekeo ni Mahakama Kuu! #IamTunduLissu
Deus Soka, my boy. Mitaa inakulilia, mdogo wangu. Samia alielekeza uuwawe. Hatuna hakika kama wamekuuwa au bado uko hai. Lakini jambo moja ni hakika: hauna hatia, wana hatia. Damu yako itawatafuna, wao na vizazi vyao. Asante kwa utumishi wako kwa Taifa letu. Wewe ni shujaa wangu.
Kanisa katoliki limewapa UKUMBI waumini wa Askofu Gwajima.
Sasa Yule mcheza PORN mkuu wa wilaya ya ubungo aje kanisa katoliki kuleta kichaa chake. 🫵🤣
Asante sana kanisa KATOLIKI hakika hili ni kanisa la Mungu. Naomba wakatoliki na waumini wa Gwajima tufurahie huu ushindi hapo kwenye comment.🔥🔥
Mcheza PORNO MSANDO chupi chini 🤣🫵
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Shame on you msajili, ulisema hutambui sekretariate ya chama chetu kwasababu hatukufuata utaratibu wa uteuzi.
Rais Samia alichukua fomu na alitangazwa kwa utaratibu upi?
Msikilize Polepole.
Tundu Lissu ameeleza vizuri sana. Kwanza ndiyo mara ya kwanza kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania, UHAINI, akishtakiwa mtu mmoja. Kwamba, alipanga uhaini siku moja - wapelelezi wakaona mtandaoni. Lakini siku 83 hawajafanikiwa kuleta ushahidi wa upelelezi wao Mahakamani.
Ni fahari kumsikiliza @TunduALissu akijenga hoja. Unamsikiliza TAL katika kizimba cha Mahakama - Kisutu akitupiga shule wote tuliopo ndani ya chumba cha Mahakama kuhusu historia ya mashtaka ya uhaini, unasema mtu huyu ni baraka tupu. TAL anaifundisha Mahakama, anaonya na kukanya