🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 32,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Kuna siku utagundua kuwa uchovu wako hautokani na kazi nyingi
Umetokana na kujaribu kuwafanya watu wakuelewe.
Unataka wakupende.
Unataka wakubali maamuzi yako.
Unataka waone thamani yako.
Lakini kadiri unavyojitahidi ndivyo unavyozidi kuchoka.
Mpaka siku moja unasikia maneno mawili yanayobadilisha kila kitu:
Let them.
Waache wasikupende.
Waache wasikuelewe.
Waache waondoke.
Waache wakukatae.
Kwa sababu amani yako haipaswi kutegemea maamuzi ya watu wengine.
Hapo ndipo unapoanza kuishi maisha yako badala ya kuishi ili kuwafurahisha wengine.
Hicho ndicho nguvu ya kitabu The Let Them Theory ukikisoma utajifunza jinsi ya kuwaacha watu wafanye wanachotaka, utajifunza jinsi ya kurudisha nguvu ya maisha yako mikononi mwako.
Ukihitaji nakala ya kitabu hiki niandikie ujumbe sasa.