@MariaSTsehai@JMakamba@SuluhuSamia Mnahubiri uzalendo kila siku ila kwa hili shangazi umechemka sio kila kitu cha kuandika bora kwa hili ungekaa kimya tu
Kosa kubwaa sanaaa kama humu ndani hatu wapushi ndugu zetu wanao uza bidhaa zao online, kuna haja ya kuwapushi kama ndugu zetu hii itaonesha kabsaa twita ni familia. Kuna hawa watu ebu tujaribu kuwa shika mkono katika mapambano yao @kalage_jr@MissChelsea1221@Mrs_Pappi