@yunusi_jr 1.Angalia earth rod kama ni nzima pia Ipime ground inasoma ngapi kwenye chemba.Ukiwa umeweka chumvi ya mawe na Vumbi la mkaa
2.Piga hesabu ya Watts za vitu vyako + masaa yanayotumika ÷1000 upate unit linganisha na matumizi yako
@BarakaMaviatu Yangu ni Hilux 2.4,Engine 2L.
Nimeifunga battery 2 na Inverter Kupata umeme 220Ac nikienda Site Grander au Drills machine natumia na Usiku linaenda lindo Walinzi wanapika ubwawa kwenye Rice cooker.Pia ina 4 wheel.
Diesel ⛽️ inanusa.
Seat nikashonea kitambaa cha Tours. Muziki mne
@Nurjan_seyd Kila Dhehebu lina utaratibu wake kuhusu matumizi ya ukusanyaji wa Zaka na Sadaka ila pia wao pia husaidia Seminari,madrassa kurahisisha wepesi wa maisha kwa wajane na mayatima
@Adventure_36 Nadhani aende kwenye kampuni za Vinywaji alikuwa anakunywa aombe arudishiwe gharama za matibabu kwani alifanya matangazo kwenye Vileo vyao