DAILSPORT-TZ 👉🏻AFRICAN FOOTBALL
Tanzania , Afrika kusini, Morocco , Misri , Kenya , Uganda, Rwanda , Burundi, Zambia, Congo.
Na kila sehemu ya bara la Afrika inapopatikana habari ya kimichezo⚽...!✍🏻✍🏻
“Tuna heshima kubwa kwa wapinzani wetu, na tunajua utakuwa mchezo mgumu. Tuna michezo miwili, kesho na mwingine Dar na lengo ni kufuzu hatua inayofata”- Kocha Mkuu Patrick Aussems kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya UD do Songo.
#dailysporttz
SportPesa kwa kushirikiana na Simba SC tumetembelea baadhi ya vituo vya soka na kugawa vifaa vya michezo kwa timu zifuatazo;
Green Warriors - Mwenge
Boom FC - Bungoni
Tandika Rangers – Tandika
Tunajivunia kushiriki kukuza soka ndani ya nchi yetu.
#dailysporttz
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka nchini Ijumaa ya Aug 9 kwa Ndege maalumu ya kukodi kuelekea nchini Msumbiji kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza raundi ya awali ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya UD du Songo mchezo ambao utachezwa Jumamosi ya August 10 majira ya saa 10:00
Baada ya mazungumko na mtu fulani jina kapuni nimegundua, katika upande wa soka tunaitaji sana kuwapongeza wacheza soka wetu wanaopambana kwenda kucheza mpira wa kulipwa ughaibuni. Kuna mambo mengi nyuma ya pazia na ujinga mwingi- #sammagoal#dailysporttz