@YoungAfricansSC ais wa Caf bwn Motsepe ambaye ni mmoliki wa Mamelody walionufaika na maamuzi tata ya jana.
Ni aibu kubwa kwa watu wa ndugu zetu wa SA ambao tumetoka nao mbali na wanajinasibu kuwa watu wanaopenda haki, usawa na amani.
Daima Mbele, Nyuma kuna Mwiko.
@Caamil8@MwanaFA
@YoungAfricansSC iuliza.
*Why Refariaa kutoka Mauritania alienda kuangalia kama Lomalisa anafaa kupewa kadi nyekundu kwa kumkanyaga Mudau lkn akashindwa kwenda kuangalia km mpira ulivuka goal line?*
Mh. Rais,
Namalizia kwa kusema. This is Shocking na ni aibu kubwa kwa Caf. Ni aibu kubwa kwa R

@YoungAfricansSC AR tunaletewa mambo meusi kwa maamuzi ya michongo?
Mh. Rais binafsi nna imani kubwa na wewe na team yako. Nakusihi tusilie. Tusilalamike. Tusijikunyate. Tujipange na tukate rufaa Fifa.
Jana kocha wetu bila woga ameuliza swali muhimu sana ambalo kila mtu mwenye akili anapasa kuj
@YoungAfricansSC enegal waliweza kukata rufaa just kwa penalty ya mchongo walifanikiwa kupindua matokeo iweje hili goli la wazi tulilowafunga Mamelody na Dunia nzima ikashuhudia ishindikane?
Mh Raisi,
Tusisahau kuwa Senegal walishinda rufaa hii enzi ambazo hapakuwa hata na VAR. Iweje leo tuna V
@YoungAfricansSC pasi na shaka fifa waliamuru mchezo uchezwe tena. Pia, Fifa ilimfungia mwamuz Joseph Lamptey maisha.
Mechi iliporejewa ktk neutral ground. Senegal alishinda kwa goli 2~0 na kufanikiwa kumaliza mshindi wa kundi na kupata haki yao kushiriki World Cup mwaka 2018.
Mh. Rais,
Km S
@YoungAfricansSC ilimalizika kwa utata mkubwa. Sababu ya utata huu ilitokana na goli la kwanza la Bafana lilifungwa kwa njia ya penalty na nahodha wao Hlatshwayo katika kipindi cha kwanza.
Penalty hii ilizua gumzo kubwa kwa kuwa marejeo ya picha yalionesha kuwa mpira haukugusa kabisa mkono wa be
@YoungAfricansSC ki wa Senegal Kalidou Koulibaly. Hata baada ya mabishano meeengi refa alikaza shingo na kuwapa Bafana tuta lililozaa goli la 1.
Mh. Rais,
Je, Senegal walifanyaje baada ya tukio hili?
Wote tunajua kuwa Senegal walienda Fifa kulalamika. Hoja yao kubwa ilikuwa refa alitengeneza m

@YoungAfricansSC wa mpira na hili bila shaka utalikumbuka.
Mh. Rais,
Tarehe 12 November 2016 kulikuwa na game ya World Cup qualifiers baina ya Bafanabafana dhidi ya Senegal. Dkk 90 zinakwisha Senegal wanafungwa goli 2~1.
Katika mechi hii iliyochezeshwa na mwamuzi kutoka Ghana Joseph Lamptey

@YoungAfricansSC *Mh. Rais Eng. HERSI, Yanga Tufuate Njia ya Senegal: Wasauzi Wanawezekana*
Dr. Shadidu Ndossa,
Dodoma, Tanzania.
0683 681 371
Salaam Mh. Rais Eng Hersi Saidi. Kwanza nakupa pole sana. Pia hongera mno.
Mh. Rais naomba nkurudishe nyuma kidogo katika hostoria. Najua wewe ni mtu