Kazi yetu ni kuhakikisha Rais Samia Suluhu analiongoza Taifa letu la Tanzania kwa miaka mingine mitano hadi 2030. Kama Mungu amemchangua, sisi ni nani tumkatae?
Sababu za wananchi kumchagua Mama;
1. Uongozi imara na thabiti.
2. Utu na upendo wake kwa wote.
3. Utumishi uliotukuka kwa wananchi.
Oktoba29 Tunatiki Samia
WATANZANIA NI WAPENDA AMANI
"Tunu mojawapo tunayojivunia ni kuwa na maadili mema. Watanzania ni watu wazalendo kwa nchi yao, ni waadilifu, ni wachapakazi, watunza mazingira, wapenda amani na wanaozijali familia zao.'- Rais Samia Suluhu
Oktoba29 Tunatiki Samia
Tangu aingie madarakani, mwezi Machi tarehe 19, 2021, Dkt. Samia Suluhu amefanikiwa kuirejesha Tanzania kwenye mstari.
Amani imetawala, haki inatendeka, biashara zinafanyika, elimu na afya vimeimarishwa na nchi imefunguka.
Oktoba29 Tunatiki Samia
JESHI LETU NI IMARA
“Pamoja na amani iliyopo nchini, jeshi letu linaendelea kujiimarisha katika nyanja zote kuendana na misingi ya kuundwa kwake, dhamira yetu ni kujenga jeshi imara lililo tayari kwa hali zote wakati wowote,”- Dkt. Samia Suluhu.
Oktoba29 Tunatiki Samia
Dkt. Samia Suluhu akionesha Tuzo ya Presidential Global Water Changemakers 2025 aliyotunukiwa Agosti 13, 2025.
Amekabidhiwa tuzo hii kwa kutambua uongozi wake bora katika kuanzisha mipango na miradi ya maendeleo katika sekta ya maji.
Oktoba29 Tunatiki Samia