@millardayo@MariaSTsehai shangazi Maria watu tulipigwa risasi mo29 so poa lakin hadi sasa haki hatujapata kwani ni kwamba risasi ndo ilikuwa haki yetu au watu tunamajeraha hadi leo tunauguza na wengine wamefariki kabisa Bado hatukubali kuwa wanyonge kwenye nchi yetu na leo ni siku ya uhuru wa Tanganyika
@Thereal_taivina@Mwabuk2Boniface hii mambo ya maridhiano bhana ni saw na kusema machafuko yaliyo tokea yamesababishwa na vyama pinzani pekee ndo wapeyapaza sauti ilihali ni wananchi na serikali mojakwamoja bila hata wito wa vyama vya upinzani
@Sativa255 usikae tu ndani kureply toka nje wew kufa kupo tuu maana wote sis na marehemu watarajiwa shika mawe anza kuponda mataili ya gari za polisi hapa ubungo me nipo kimara huku tunakiwasha usiogope toka kwa wingi bila kuchoka
@MariaSTsehai nyie mlio jifungia ndani hadi mda huu ni waovu sana kuzidi mtu yoyote duniani acheni hayo mambo roho za watu wangapi wamefariki ili kutetea vizazi vyenu nafsi za watu wangapi zinatudai pengine ni ndugu zetu,rafiki zetu somo wetu na hata wazaz wetu toka nje toka nje kwa kishindo
@Sativa255 njooni hapa ubungo mataa watu tuongezeke maana hata wanajeshi wamepita na magari yao wanefurahi kutuona baadhi ya raia kweli tukiaandamana njooni huku watanzania msiogop saa nne isikukute ndani achana na mambo ya kisenge golden chance never comes twice toka hulaaaa Tanganyika
@Waziri_wa_wapwa Kwani na CCM wamempa fomu ya ubunge ila Hawa CCM ni matako kweli hawashindwi jumpa na huyu mkazi wa uingereza pengine hata so mtanzania