@sellyamutabi@RadioCitizenFM Wingu La Baraka Limetanda Kote,huku ni BarΓ ka,huku ndio home. Salamu zifikie Kila mtu wa Home Towm- Eldoret na watu wa Hallelujah Church Mwanzo
#WinguLaBaraka
Hello and good afternoon @sellyamutabi
Wingu la Baraka Limetanda Kote,
Lakini kule CHELSEA Ni wingu La Simanziπππ
Naona nikikufuata huko MAN-Uπ
Tuko pamoja from Kasarani
@RadioCitizenFM#WinguLaBaraka
My favorite part of resurrection is when they went back and didn't find JESUS where they left Him!
Don't let anybody find you where they left you. Elevate! He got up! You too can! Nothing is too hard for my God.