Detention without trial?
Tundu A.M Lissu alikamatwa Mbinga, Ruvuma Aprili 9, 2025. Zimepita siku 427 (mwaka mmoja na siku 62) tangu kukamatwa hadi leo Juni 10, 2026.
Zimepita siku 96 tangu kesi hiyo iahirishwe katika Mahakama Kuu (baada ya kusikilizwa mfululizo kwa siku 20 za kazi tangu Februari 9, 2026).
Kesi ilipangwa kuendelea kusikilizwa Mahakama ya Rufani kuanzia June 11, 2026 kufuatia upande wa Jamhuri kukatia rufaa uamuzi wa Mahakama Kuu
Lakini kesi hiyo imehairishwa tena bila kufika siku ya kesi na pasipo kutolewa sababu za msingi za kuhairishwa kwa kesi hiyo hadi Julai 6, 2026
Tangu kesi ilipoahirishwa (Machi 6, 2026) hadi itakapofika (Julai 6, 2026) kesi hiyo itakuwa imetimiza jumla ya siku 122 (miezi 4 kamili).
Tangu leo (Juni 10, 2026) hadi tarehe hiyo ya Julai 6, 2026 ambayo ndiyo itakuwa siku ya kurejea tena mahakamani, zitakuwa zimesalia siku 26.
Kwa lugha rahisi na inayoeleweka, Tundu A.M Lissu amewekwa kizuizini. Kwanini hafikishwi Mahakamani kuendelea na shauri lake tangu Machi 6, 2026?
Mahakama kwa kutumia haki zake imeamua kuchelewesha upatikanaji wa haki zake za msingi kupitia mchakato unaoonekana kukosa haki.
Tuliwaeleza mwanzo, mmemkamata Tundu A.M Lissu na kumshtaki kwa tuhuma za uongo za uhaini ambazo hamtaweza kuzithibitisha mahakamani.
🚨 SHAME ON TANZANIA’S JUDICIARY!
The Court of Appeal was supposed to hear Tundu Lissu’s case tomorrow, June 11. Now they’ve shamelessly pushed it to July 3, another deliberate delay in this political persecution!
Even under our own laws (Appellate Jurisdiction Act), this endless adjournment of interlocutory matters is ABUSE of process. Not justice, but a weapon to keep a leader behind bars.
This is not a court , it’s a regime tool! #FreeTunduLissu @judiciarytz #TanzaniaJudiciaryCorrupt
Haki iliyocheleweshwa ni haki iliyonyimwa.
Tangu kukamatwa kwa Tundu A.M. Lissu tarehe 9 Aprili 2025, zaidi ya mwaka mmoja umepita huku shauri lake likikumbwa na mfululizo wa kuahirishwa. Tangu Machi 6, 2026 hadi Julai 6, 2026 kutakuwa kumepita siku 122 bila shauri kuendelea kusikilizwa.
Swali la msingi ambalo Watanzania wengi wanauliza si kama Tundu Lissu ana hatia au hana hatia. Swali ni: kwa nini haki yake ya kusikilizwa kwa wakati inaendelea kucheleweshwa?
Katika mfumo wa utawala wa sheria, mahakama zipo kulinda haki za wananchi, si kufanya mchakato wa sheria kuwa adhabu yenyewe. Ikiwa mtu anatuhumiwa kwa kosa kubwa kama uhaini, basi taifa lina wajibu wa kuhakikisha kesi yake inasikilizwa kwa haraka, kwa uwazi na kwa haki ili ukweli ujulikane.
Serikali inapaswa kuonyesha kwamba haitumii ucheleweshaji wa kimahakama kama njia ya kumweka kizuizini mpinzani wa kisiasa kwa muda usiojulikana. Njia pekee ya kuondoa mashaka hayo ni kuhakikisha shauri hili linaendelea kusikilizwa bila ucheleweshaji usio na sababu za msingi.
Haki si tu kutoa hukumu sahihi; haki ni kuhakikisha hukumu hiyo inafikiwa kwa wakati unaofaa. Mahakama na serikali wanapaswa kukumbuka kwamba imani ya wananchi katika mfumo wa haki hujengwa na uwazi, usawa, na usikilizwaji wa mashauri kwa wakati.
Kama ushahidi upo, uletwe mahakamani. Kama haupo, sheria ichukue mkondo wake. Lakini haki haiwezi kujengwa juu ya kuahirishwa kusikoisha.
Watanganyika walivyoingia barabarani Tarehe 29.10.2025 kudai haki ya Mfumo wa uchaguzi na madai ya Katiba mpya,Kupinga , utekaji, Ufisadi na haki ya Ajira kwa wote.
Watanganyika wametangaza kurudi tena barabarani Tarehe 7.7.2026
Kesho walipanga kujaza Mapolisi waje kufanya fujo na kupiga watu Mahakamani kwenye kesi ya Mhe. Lissu ila walipoona Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika kasema kuhusu mipango yao michafu dhidi yetu kwa aibu kubwa wameona waweke mpira kwapani na kusogeza kesi mbele.
Ni wazi kuna Collabo kali katika ya Mahakama, Jeshi la Polisi na Serikali haram ndo maana leo wamepiga simu moja tu na Mahakama ikakubali kusogeza kesi mbele.
Yani Tanzania hatuna Mahakama, hatuna Bunge wala Serikali ila kuna genge la vibaka ambao wanaendesha nchi yetu wanavotaka kinachoniuma ni kwamba hawa wauaji hatukuwachagua bali walijiweka madarakani baada ya kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Antiphas Lissu, ambalo lilipangwa kuendelea kesho, tarehe 11 Juni 2026, limeahirishwa.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania, shauri hilo limepangwa kusikilizwa tarehe 3 Julai 2026 na kwa ajili ya Judgments, Rulings & Orders siku ya Jumatatu, tarehe 6 Julai 2026, saa 3:00 asubuhi.
‼️🚨BREAKING NEWS‼️
Mahakama imesogeza tarehe ya kesi ya Lissu hadi tarehe 3 Julai!!!!
Kwa nini dakika za mwisho na mbali hivi!?
Ule mpango wa kumpa sumu mmeona akitoka kesho mtashindwa kutimiza?! Hii mbaya sana Mahakama mnaendelea kuahirisha uhuru wa Lissu!
@judiciarytz has pushed the trial date from tomorrow 11 June to 03 July! This is highly concerning esp amid reports of possible posioning attempting of Lissu in prison
Everry single day in prison is a transgression
#FreeTunduLissu immediately and unconditionally!
"Wananchi na wadau wa demokrasia na haki waliopo nchini kujitokeza mahakamani kufuatili kitakachotoa katika kesi ya Mhe. @TunduALissu. Natoa wito kwa vyombo vya habari kujitokeza mahakamani." Mhe. @jjmnyika
Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwasote (China wa China), amesimulia mkasa wa madai ya kutekwa na kuteswa, akidai kuwa kifo cha mwanaye ndicho kilichookoa familia yake dhidi ya kundi la watu anaowatuhumu kuwa ni maafisa wa polisi.
"Hili zigo tunalibebesha kwa Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es salaam na Mkoa wa Kipolisi wa Ilala na wilaya zake zinazohusika na eneo hilo la Mahakama hizi mbili, za Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa." Mhe. @jjmnyika
"Jeshi la Polisi wapuuze taarifa za uongo za ndani ya Jeshi la Polisi lenyewe zinazodaiwa kuwa za kiintelejensia, kwamba watu wa Chadema wanapanga kufanya vurugu kwa wanachokiita kumuokoa @TunduALissu kutoka kwenye mikono ya magereza na Polisi, uongo mtupu." Mhe. @jjmnyika
Hello @EUinTZ@usembassytz@UKinTanzania the government of @DrHmwinyi won't treat sick people/tourists that are not Zanzibaris. That includes Tanzanians from the mainland. Let your citizens know that if they become sick in Zanzibar, they will suffer to death. Boycott Zanzibar!!
Hii picha mpaka leo inanisisimua mwili. Yani the hair on the back of my neck zinasisimka everytime I see this photo.
Hii Ilikuwa ni kama wiki 2 hivi baada ya mauaji ya October 29, hii ndio siku wabunge wakiwa wanaapishwa, Watanzania woote bado tumezizima, miili imekufa ganzi, wanaotafuta watoto, ndugu, marafiki bado wanazunguka mortuary wanatafuta maiti, wanaozika ndio walikuwa wanazika. Yani siku hii picha inapigwa Watanzania bado tuko in shock kama tumepigwa radi ila mke wa Kikwete akavaa na high heels anacheka mpaka jino la Christmas,pembeni yake Ridhwani Kikwete nae furaha kama yoooote,. Yani damu zilizomwagwa Tanzania na chama chao ni kama zilimwaga damu za mbuzi, yani kwa familia ya Kikwete kwao vile vifo vya Watanzania vilikuwa ni worth it ili mradi wao familia yao bado imeshikilia nchi…..
Picha ya pili ilikuwa ni December 1, birthday ya Salma Kikwete. Hii Ilikuwa exactly 4 weeks baada ya mauaji, bado nchi imezizima Ila Kikwete na mke wake walikuwa na nguvu na mood ya kufanya birthday party na familia yao na kuposti kwenye social media.
Naamini inakuja siku ambayo tutabadilishana nao nafasi, sisi tutavaa high heels na kucheka mpaka jino la mwisho alafu wao watakuwa wanagalagala chini kwenye sakafu kwa uchungu. Hapa hapa duniani, hii familia itapitia uchungu kama tuliopitia Watanzania October 29 2025.
Kweli madaraka yanaweza kumtoa mtu ubinadamu na utu kwa kiasi hiki?