Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
Naomba sana wananchi wenzangu kuliona swala la kupiga kura nilamhimu tujiandae kwani kupiga kura ni haki yako wapo wanaolichukulia mdhaha tusifanye hivyo kwa ujumbe huu julishe na mwenzako #chukuahatua
Waraghabishi kwa ujumla tunaomba uchaguzi uwe wa amani wagombea wa vyama vyote tunawatakia kampeni nzuri zisizo ashilia vurugu pia tukubali kupokea matokeo kwani asiyekubali kushindwa si mshindani
Swala la kukosa walimu wa kike shule ya msingi kisumo kata ya nanda mbogwe geita lita isha lini? Leo miaka mitatu bila mwalimu wa kike naomba wizara mliangalie hili #chukuahatua@OxfamTz@azamtvtz@HakiElimu
Uongozi ni mpango wa mungu jamani wapo waliopungukiwa kura ktk kura za maoni naomba watulie zamu haijafika ikifika utashangaa na pia maamzi ya wapiga kura yazingatiwe sana kwani walivyo amuwa ndivyo ilivyo #chukuahatua@MagufuliJP @
@MagufuliJP Asante kiongozi kwa kuonyesha nia ya kuwasapoti wakulima pia tunaiomba serikali yako mbegu na mbolea iwe inatowa mapema ikiwezekana mwezi wa nane inasambaza mkulima bado hajafanikiwa sana juu ya kilimo ushauri wangu ni huo
Wakulima wanahitaji sana mbolea ya ruzuku iwapate kuanzia mwezi huu wa nane kwani inachelewa mno pamoja na mbegu hivyo husababisha mkulima analima mbegu holela na mafanikio hayapo #chukuahatua@OxfamTz@HusseinBashe@TZMsemajiMkuu
Naiomba sana wizara ya kilimo iweinawahisha mbolea pamoja na mbegu zote ili mkulima awe na mda mzuri wa kujipanga ikiwezekana mwezi wa nane inasambaza #chukuahatua@OxfamTz@HusseinBashe
Uchaguzi siyo ugomvi nawaombeni wagombea ote kura zikipelea ujuwe kwamba haikuwa zamu yako Tulia zamu yakoikifika hakuna wa kuipangua na ujuwe kwamba madaraka hutoka kwa mungu #chukuahatua@OxfamTz
Waraghabishi mbogwe tunapenda kuyakalibisha mashirika yaendelee kutupatia majukumu lengo kuu ni kuona mwananchi anajitambuwa pia anapata haki zake za misingi bila kubaguliwa wala kunyanyaswa #chukuahatua@OxfamTz @waraghabishitz
Wazazi wa wanafunzi darasa la saba shule ya msingi kisumo kata ya nanda mbogwe geita wakipeana msisitizo kuwa tusiwanyime watoto haki zao huo ni ukatili mkubwa tuwaache watoto watimize ndoto zao #chukuahatua@OxfamTz@joycendalichako@HakiElimu
Naomba watanzania tuwe makini kupata viongozi wazuri tusiangalie sula wala fedha tuangalie uwezo wa kuongoza pia naomba kina mama wajitokeze kuomba nafasi #chukuahatua@OxfamTz