@Rahma_Simba@Jambotv_ Dini inahusisha siasa , siasa ni kipande kidogo kwenye dini kwa hiyo Dini ni kubwa kuliko siasa , kwa hiyo ni lazima kuonya ikitokea kitu CYO cha halali
@eastafricatv Kwa mpira ulipo hapo na media za bongo znavyoleta mjadala , naona kumbe bongo wote hawana akili , mnatakiwa mlete picha ya juu ili mpira uonekane vzr mengine labda ni ushabiki wa ajabu tu
@TMnyama4_ Kwanza kabisa ukienda kwa daktari kueleza shida yako kwenye hayo maelezo atapata ugonjwa wako na tayari matibabu atajua ni nini , akikutuma maabara anamaanisha anataka kuconfirm tu , twewe nahisi alikutuma kwenda kuangalia hivyovitu vingine maana kwenda maabara CYO umemaliza tba
@swahilitimes Mambo yamebadilika, mda CYO mrefu kama hakuna mabadiliko Tanzania itaingia kwenye machafuko na hatoamini, hiz kauli zake ni za uchochezi maana kama hamna haki watu huchoka na kuamua kuitafuta kwa nguvu na damu
@millardayo Sema wabunge wanajisahau sana kua wao ni wawakilishi wa wananchi jimboni kwao , sasa huyu anasemea kelele za bar ili hali jimbo lake halina hizo bar watu wamepauka hamna miundombinu yoyote, watu wa hivi wasirudi kuwakilisha
@CharlieBihemo Kanisani amevaa vazi CYO la heshima ya kanisa inavyotakika, Ccm amevaa vazi la heshima . Nahisi ndio alimaanisha hivyo , kwa hyo basi ibada haiheshimu anaheshimu mikusanyiko ya ccm