Gerald Pique akiwa na jezi yake ya Simba 🔥. Ni fahari kuweza kujenga mahusiano na mchezaji wa aina yake. Tunaamini kuna mengi ambayo tutaweza kujifunza na atakayo tushauri yatakayoleta maendeleo ya mpira hususa kwa vijana. 🦁#NguvuMoja
Ukipewa mchongo na mwana wa deal ukafanye kwa mtu mwengine hakikisha unatoa mrejesho kwa aliekupa connection
Tujifunze kuwa na mrejesho, watu hawataki cha juu kuna wakati wanahitaji heshima tu na appreciation.
Ni furaha kubwa na kitu kinachoendelea kunipa moyo kw huy shabiki mwanadada kuona nina mchango wangu ktk klabu yt nachukua nafasi hii kutoa shukran zang za dhati kwk na ulichonishauri nimekipokea kwa moyo mmoja nanitakifanyia kazi.Nin zawadi yk ya jez mpya ya @SimbaSCTanzania
Let's be clear: we're not talking about dismissal,resignation or being sacked...I came in South Africa to check the club but our visions were far too different! So i was no longer interested in their offer and therefore i didn't sign the contract and I left : it is that simple !