Leo design unemployed wamejaa outside ata unaeza dhani ni Friday mamae, nimekaa tu nimetulia Ochora anaeka za mzinga. Si ata nyinyi mmeona sio mimi man๐ญ๐
Hii Runda ya Thika ni kama ka-rehab kadogo walai, natoka kwa nyumba tu kidogo napatana na dem fulani ana stagger karibu aniangukie, kuendelea kutembea napata kina mwingine amebebwa kwa mgongo haezi tembea,after a few steps napatana na Skeka akisema tukatoe lock pale Nashipai. Yoh its a random Wednesday ata ndo imefika saa mbili
When you are arrested,uambie the cop wacha tuongee tumalize hii story hapa,Alafu akushow kuongea tutaongea but tufwate sheria kwanza,bro hapo we jitayarishe tu vile utajitetea huko court the following day๐
Leo design unemployed wamejaa outside ata unaeza dhani ni Friday mamae, nimekaa tu nimetulia Ochora anaeka za mzinga. Si ata nyinyi mmeona sio mimi man๐ญ๐
Kuna hii job nilikua natafuta back last month, nimetuma over 20 emails na huwa hawasomi so nikatafuta number ya HR nikamtext direct, and the guy had the audacity ya kuniuliza mbona namtext badala na kutuma email, na pia akaniambia hakuna vacancy ata, nataka kuunda posters job vacancies na nieke number yake hapo alipie sasa