@HildaNewton21 Mjifunze kwa wanachama wa CCM hawana ujinga kam nyie leo mzee katutoka hauoni ahsante ni huzuni kwa kila Mtanzania ingawa upande wa pili mngecomment ujinga mwingi
@Innocen89950594@IamGabby_01 Maneno yako ni mazr sana kam haujatokewa na hilo janga ni sawa ugonjwa ukiwa kwa mwingne unaona km anadeka hiv ikupate sas wewe msemaji mzr unakuwa hoi zaidiii