🌟🥇Hadithi inasema kwamba katika karne ya 14, mtawa anayeitwa Isidore kutoka Monasteri ya Chudov huko Moscow aliunda kundi la kwanza la vodka. Alitumia mchakato wa zamani wa kunereka ili kuunda roho wazi, yenye nguvu ambayo aliamini kuwa ina sifa za matibabu.
@sajo_mwaihabi Nanua gunia la miatano natafuta pembezoni ya stendi kutandika chini nanunua machungwa 4000 na chenza 4000 naanza kazi.nabakiza miatano nauli ya kurudi jioni
Leo ilikuwa siku ngumu kwangu kidogo nimeingia bar nikaagiza kinywaji cha baridi ghafla hali ya hewa ikabadilika mvua imenyesha sana na baridi imekuja kali natamani kubadilisha kinywaji ila nishawaza hamna refund 😄 😆 ukiweka bet
John siku zote alikuwa na ndoto ya kumiliki biashara yake mwenyewe. Alifanya kazi bila kuchoka, akaokoa kila senti, na hatimaye akafungua duka lake la kahawa. Kujitolea kwake kwa ubora na huduma ya kipekee kwa wateja kulifanya duka lake la kahawa kuwa eneo maarufu la ndani
#story
Believe me walls in hospitals have had more prayers than walls in places of worship *because love is more felt when its leaving.*
#quoteoftheday#quote#Love#hospital
"Bia bila kelele ni kama juice, Dar es Salaam ni mji wa biashara kama Dar inakukwaza nenda Dodoma, ila niwasihi tutafuteni pesa. Katika kufungua uchumi wa Dar es Salaam sio kuacha kufanya starehe" Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Tunawatamani sana 🔥🔥 Kila mtu anasubiri pakuche tuwaoneshe maana halisi ya mpira ,naimani wachezaji wetu watatupa matokeo mazuri na burudani ya kipekee tunaimani sana na Yanga🥇💥